monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Mkuu hata ukikaa sana Namtumbo utapazoea utapaona pazuri tuMkuu mi nimeishi sana Dar ata ile siku ya kwanza kufika Dom nilipachukia sana ila now nimeishi for a While nimepazoea ni sehemu moja nzuri sana ya utafutaji