Chimbo za gest za bei nafuu

Chimbo za gest za bei nafuu

Hizo lodge zitakuwa zina mashuka machafu. Lodge standard dom ni 25k to 30k. Ambazo nazifahamu ni

Waridi 25,000 ipo makole

Haika lodge nyuma ya cape town kisasa 30,000

Johainic hotel 30,000 kisasa
 
Hizo lodge zitakuwa zina mashuka machafu. Lodge standard dom ni 25k to 30k. Ambazo nazifahamu ni

Waridi 25,000 ipo makole

Haika lodge nyuma ya cape town kisasa 30,000

Johainic hotel 30,000 kisasa
Dem wa short time haitaji hata kitanda ni kumkunja na kuxepa
 
Chimbo Matata sana ile na ipo sehem imetulia mno mkuu... Pale tumezoeleka tunalipaga hata buku 5
Mkuu nimepita chimbo nyingi sana kwa dom kuna gest ya Mama sabina iko pale kwa dr moto kwa juu kidogo karibu na kimsikiti flani hivi bei buku 7 mpaka 8 nimewala sana kwa chimbo lile.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hizo lodge zitakuwa zina mashuka machafu. Lodge standard dom ni 25k to 30k. Ambazo nazifahamu ni

Waridi 25,000 ipo makole

Haika lodge nyuma ya cape town kisasa 30,000

Johainic hotel 30,000 kisasa
Usibishane mkuu njoo na 12k nikupeleke gest safi kabisa tena ni self kila kitu kipo na TV ndani
 
Nililala Kisiwa fulani hivi sengerema daah guest chumba buku tatu asee nilikaa wiki utafikiri mwaka.
 
Back
Top Bottom