Chimbuko la kabila la Wairaq

Chimbuko la kabila la Wairaq

hiyo iraq ni ijina tu, hawana uhusiano wowote na waarabu wa iraq (mesopotamia), ila ni watu toka bonde la Nile (Cush) wenye vinasaba vingi vya waethiopia na wasudan. huko kwingine mnadanganyana.

hawana uhusiano wowote na Wayahudi. nashangaa sana kwamba kila mtu anajiita myahudi. Watusi Rwanda wanajiita Wayahudi, Wairaq ambao hawafanani kabisa na watusi wanajiita wayahudi, Yoruba in Nigeria na pua zao pana kama yangu wanajiita wayahudi, lakini pale Ethiopia wao ndio wanawajua wayahudi wa Kiafrica ni wepi, ni kabila dogo sana ambalo halikutawanyika kwenye nchi yote ya Ethiopia na wamemaintain dini ya kiyahudi tangu enzi za Malkia wa Sheba hadi leo, kitabu chao kitakatifu ni Tora (Torati) ileile wanayoitumia wayahudi, wanatambuana wao kwa wao na wanajitenga toka makabila mengine na wapo very royal. hata waethiopia wengi unawaona wanakuja huku au wametawanyika kote duniani, waeritrea etc sio wayahudi. hadi sasa Wayahudi ambao wameshapimwa hadi DNA wakajulikana na vinasaba ya Waisrael wamebaki sio zaidi ya 100,000 pale Ethiopia na wanajulikana kabisa distinctively. wengine wote walishachukuliwa na Serikali ya Israel tangu operation moses kadhaa, walitaka wachukue wote hata hao waliobaki lakini Serikali ya Ethiopia ikapiga stop. wanaishi Israel na wapo kwenye Serikali na kwenye majeshi. wengine woote toka nchi izingine sio wayahudi ila ni wakush wa kawaida tu.
 
sina uhakika kama wanakekeza na wao? hivi ni kweli? tofautisha wairaq na wabarabaig, ni watu sawa au tofauti? wabarabaig wafugaji tu hao ni kama masai, wanafyeka visimi na mashavu ya tamu.
 
hiyo iraq ni ijina tu, hawana uhusiano wowote na waarabu wa iraq (mesopotamia), ila ni watu toka bonde la Nile (Cush) wenye vinasaba vingi vya waethiopia na wasudan. huko kwingine mnadanganyana.

hawana uhusiano wowote na Wayahudi. nashangaa sana kwamba kila mtu anajiita myahudi. Watusi Rwanda wanajiita Wayahudi, Wairaq ambao hawafanani kabisa na watusi wanajiita wayahudi, Yoruba in Nigeria na pua zao pana kama yangu wanajiita wayahudi, lakini pale Ethiopia wao ndio wanawajua wayahudi wa Kiafrica ni wepi, ni kabila dogo sana ambalo halikutawanyika kwenye nchi yote ya Ethiopia na wamemaintain dini ya kiyahudi tangu enzi za Malkia wa Sheba hadi leo, kitabu chao kitakatifu ni Tora (Torati) ileile wanayoitumia wayahudi, wanatambuana wao kwa wao na wanajitenga toka makabila mengine na wapo very royal. hata waethiopia wengi unawaona wanakuja huku au wametawanyika kote duniani, waeritrea etc sio wayahudi. hadi sasa Wayahudi ambao wameshapimwa hadi DNA wakajulikana na vinasaba ya Waisrael wamebaki sio zaidi ya 100,000 pale Ethiopia na wanajulikana kabisa distinctively. wengine wote walishachukuliwa na Serikali ya Israel tangu operation moses kadhaa, walitaka wachukue wote hata hao waliobaki lakini Serikali ya Ethiopia ikapiga stop. wanaishi Israel na wapo kwenye Serikali na kwenye majeshi. wengine woote toka nchi izingine sio wayahudi ila ni wakush wa kawaida tu.
Falashians (Beta Esrael) , ndo wayahudi waliopo israel. Tuko pamoja mdau
 
Upo sahihi kabisa. Wairaqw hawana uhusinao na Wayahudi. Nadhani hata aliyeleta andiko hajasema ni ndugu au wana uhusiano na wayahudi. They are Cushitics.
 
BASI WEWE HUWAJUI WAIRAQW.
Saitaa, saiyuu nisiwajue? Nimekaa mbulu one year na dongobesh one year, hydom wiki moja na katesh siku nne, acha babati pia nimepita, au ilibidi niende wapi zaidi kuwajua wairaqwi?
 
hapo kwenye miguu ya spoki umeweka chumvi kwa sababu zako binafsi
 
HAWAJAMAA KUISHI NA WATU KAZI SANA WANAVITABIA VYA HOVYO KUJIVUNA KUJISIKIA NA MARA NYINGINE WEWE UJISHUSHE NDO MUENDE SAWA NA WANAKAUBAGUZI HATARE
 
Hili kabila linaukabila mkali kuzidi hata la wahaya na wanyakyusa. Nimefanya kazi huko nilishuhudia kituko. Aisee kanisani tunasali sala maalum ili tupate askofu mzawa yaaan papa atuletee askofu mwenye asili ya KIIRAQ. Nilihisi kuna jambo liliwahi wakuta ndo maana wanataka askofu wa kabila lao lakini nilinusa harufu ya UKABILA uliopitiliza. Na wakiongea kilugha chao husikii neno hata moja la kiswahili jamaa ni nomaaa hawa. Hata kununua vitu ukiwa na duka kama sio muiraq hawaji. Unabisha nenda karatu ukajioneee. Mgeni wanamuita HOMOOOO.
 
Karatu na Mbulu wapi pameendelea?? hiyo ya umalaya ni kweli au story tu?
 
Hili kabila linaukabila mkali kuzidi hata la wahaya na wanyakyusa. Nimefanya kazi huko nilishuhudia kituko. Aisee kanisani tunasali sala maalum ili tupate askofu mzawa yaaan papa atuletee askofu mwenye asili ya KIIRAQ. Nilihisi kuna jambo liliwahi wakuta ndo maana wanataka askofu wa kabila lao lakini nilinusa harufu ya UKABILA uliopitiliza. Na wakiongea kilugha chao husikii neno hata moja la kiswahili jamaa ni nomaaa hawa. Hata kununua vitu ukiwa na duka kama sio muiraq hawaji. Unabisha nenda karatu ukajioneee. Mgeni wanamuita HOMOOOO.
hivi kati ya makabila yatakayokubagua ukaumia, wambulu nao watakuumiza moyo? kwasababu ni kabila lisilo na heshima.
 
Uzuri wa Wairaqw wana misimamo hasa mademu ukikuta katulia aisee humbadilishi kirahisi. Ishu ya urahisi wa kutongozeka hii kitu inachangia na hamu ya kuwa na muingiliano na kabila tofauti

Hii ni kawaida kwenye eneo lolote ukienda mgeni ni rahisi kuwapata mademu wenyeji.

Kumbuka hawa nao wana kuchezwa kwa watoto wa kike labda inachochew pia kupenda michezo.
 
Back
Top Bottom