Chimbuko la Majina ya Kimara Dar Es salaam

Chimbuko la Majina ya Kimara Dar Es salaam

THOM DAIRY, kama.sikosei ndie aliyekuwa mmiliki wa mabada ya kisasa ya maziwa Dar nzima yakiitwa FRESH MILK
 
Kimara Suka palikua na bar inaitwa suka . Kumbuka Suka maana yake Ni dereva.
Kimara stop over palikua na bar inaitwa STOP OVER.
 
Back
Top Bottom