Chimbuko la Panya road & Vigodoro !!

Mie katika mboga zilizonishinda kula ni mlenda, naona kama nakula makamasi.
Ila tembele na dagaa mwake, tamu sana.

Unafikiri mie wa kishua?...muulize Shark , nina ratiba ya vigodoro vyooote Dar mpaka akina Big'n chali, unawajua hawa?
Sio kama unaona unakula sh@hawa??
 
Ivi kigodoro maana yake nin haswa? ? Ni kwamba watu uenda na magodoro kwenye izo ngoma au?
 
Mtoa mada unapajua tandika taa nyekundu? Nenda halafu ulete mrejesho. Tabia za uswahilini ni zile zile tu. Mwananyamala kisiwani, kinondoni shamba, vingunguti, tandika, kigogo, kiwalani bombom, nk
 
Mtoa mada unapajua tandika taa nyekundu? Nenda halafu ulete mrejesho. Tabia za uswahilini ni zile zile tu. Mwananyamala kisiwani, kinondoni shamba, vingunguti, tandika, kigogo, kiwalani bombom, nk
Huwezi kunipoteza Uswaz popote hapa Joto City.....nimeandika zaidi Manzese..Mabibo na Kigogo kwamba ndo chimbuko la Panya road na vigodoro...But sehemu zipo nyingi
Km ni Cheo basi
Manzese : Rais
Kigogo: M/Rais
Mabibo : W/Mkuu
Kwingineko: Mawaziri
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Unatumia kigezo gani mkuu kusema hivyo? Hivi mabibo na kinondoni shamba kuko sawa? Hivi kigogo na keko kuko sawa? Hivi kigodoro cha manzese na cha tandika taa nyekundu huko kipi kikipigwa mtaa mzima unafungwa plus difenda za polisi zinapiga ruti mpaka asubuhi? basi huijui bongo wewe utakuwa umehadithiwa tu.
 
Basi km hujaelewa sio kosa lako....
Kama una cha kuongeza kuhusu mada ongeza kwa faida ya wengine.....Mimi mswaz haswa
 
Hakuna sehemu mbaya na hatari sana hapa mjini kama keko, tandika taa nyekundu, kino shamba nk hizo sehemu ni balaa. Watoto wanaotokea maeneo hayo hawana malezi mazuri tangu wakiwa tumboni mwa mama zao. Nenda hata ktk vituo vya polisi utapata data. Sehemu korofi zote hapa mjini. Jifanye unafanya research
 
Basi km hujaelewa sio kosa lako....
Kama una cha kuongeza kuhusu mada ongeza kwa faida ya wengine.....Mimi mswaz haswa

Rudi kafanye tena reseach yako. Unaweza ukawa mswazi usijue kila kitu. Chimbuko la panya road si watoto wa eneo moja. Na neno panya road unajua lilipotokea? Kifupi panya road ni wana generalize tu.
 
Ww umetisha kuliko wachangiaji wote
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…