Chimbuko la Panya road & Vigodoro !!

Leo nimeikumbuka tu......
 
Na vigodoro ndio chimbuko la wasanii wengi wa mziki wa singeri asilia wametokea huko na huko ndiko kulikuwa kuna singeri halisi kabisa na unapotafuta historia ya singeri Tanzania huwezi kusahau kutaja Manzese .Mburahati .mabibo ,kibaha.chalinze,mlandizi na kongowe
 
Umefafanua vizuri mkuu
Mfano kitaani kwetu mwisho wa mwaka kulikuwa linafanyika tamasha kubwa na kuwaoa fursa nasela kuonyesha vipaji vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…