Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Nina swali hili nijibu
Haya maneno Muhammad aliyatowa wapi , embu nipe chain na nani anayaongea

Koran 5:110 Na pale Mwenyezi Mungu atapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Kumbuka neema yangu juu yako, na juu ya mama yako, nilipo kutia nguvu kwa Roho Takatifu, ukazungumza na watu katika utoto na utuuzimani....
Chain iko wazi sana ameyapokea toka kwa Malaika muheshimiwa Jibril (Amani ua Allah iwe juu yake) kisha akayapokea Mtume kisha akawaambia waja wa Allah.
 
Issue kijana inayokuja ni kwamba kilicho andikwa, unaweza kuaminini kilicho andikwa ni kweli kinakuwa kimeandikwa kweli na unayemuabudu ndio katamka, je alicho kitamka ni kweli?

Mfano Allah kasema Jua linazama kwenye matope , je kialisia leo hii unaamini Jua linazama kwenye chem chem matopeni

18:86
Till, when he reached the setting-place of the sun, he found IT SETTING IN a muddy spring…
Hili jambo limeshajadiliwa zaidi ya mara moja humu na kwa mifano lukuki,huo ni ufasaha wa lugha na ukisoma Tafsiri za Qur'aan zimeeleza jambo hilo,rejea katik Tafsiri hizo.
 
Chain iko wazi sana ameyapokea toka kwa Malaika muheshimiwa Jibril (Amani ua Allah iwe juu yake) kisha akayapokea Mtume kisha akawaambia waja wa Allah.
hypocrisy ndio imekujaa, Yani unataka uamini Allah kaongea na Muhammad ,ila wengine walisema holy spirit kaongea unaona haifai, ONDOA hypocrisy tu dabate kiutu uzima na uache utoto
 
Hili jambo limeshajadiliwa zaidi ya mara moja humu na kwa mifano lukuki,huo ni ufasaha wa lugha na ukisoma Tafsiri za Qur'aan zimeeleza jambo hilo,rejea katik Tafsiri hizo.
Ndio nimekwambia tujadili uhalisia wa kilichopo , kama Allah alisema Jua linazama matopeni na leo hii sayansi inampinga ndio tuanzie hapo kuona je Kuna ukweli kwa yaliyo andikwa
 
hypocrisy ndio imekujaa, Yani unataka uamini Allah kaongea na Muhammad ,ila wengine walisema holy spirit kaongea unaona haifai, ONDOA hypocrisy tu dabate kiutu uzima na uache utoto
Soma nilichokiandika kisha ukielewe Mtume Muhammad hajaongea na Allah na wala sijaandika hilo,aliye ongea na Allah ni nabii Musa pekee na hili tunaliona kwenye Qur'aan,umetaka chain lakini hata chain yenyewe huijui ni nini,hili ndiyo tatizo la kujadili mada na mjinga asiye jua.
 
@Mubarridi uyo jamaa ukimuuliza swali hawezi kujibu mna hana hoja m ndo mna nikampotezea tuu mna nishamuona ni mjingaaa tena na upumbavu umemjaa
usikute ni jitu zima kbsa ilo lkn ni jinga la kutupwa
 
Huyu namjua vizuri na mimi huwa siingii hoja nyingine mpaka ajibu swali nililo muuliza utaona tu mwisho atakimbia.

Hawa jamaa si wasomaji na wote wana fanana huwa wanaingia mitandaoni wanakariri hoja za wapinzani kisha wanazileta huku wanakuja kutupotezea muda unakuta wanaruka ruka tu,hawana hoja.
 
hypocrisy acha kwanza hii , alafu ndio ujadili kama mtu mzima , usijifiche Kwenye chain , chain ni maaimulizi kutoka chanzo kimoja kwenda kingine ambapo inaweza pia uongo mtu anaweza sema falni kaniambia ni kumbe anadanganya
 
Wewe umeniogopa , unataka watu wasio Jua kitu uwasanganye , Kam kule ulidanganya ukifa tu muislamu unaenda kwenye hukumu, kumbe Kuna adhabu ya kaburi kwanza kabla ya hukumu, someni dini yenu ndio maana mnaona mkiwekewa maandiko yenu humu mnayapinga
 
Safi kabisa kwetu sisi Chain ndiyo Dini kijana yaani bila chain hakuna jambo ndiyo maana tumejikita katika elimu ya uhakiki wa habari kuzichambua chain na kuzipembua.

Kwahiyo hatuwezi kutoka kwenye msingi,umesema uongo na unatikiwa ukiri hilo kisha tuendelee.
 
Huyu namjua vizuri na mimi huwa siingii hoja nyingine mpaka ajibu swali nililo muuliza utaona tu mwisho atakimbia.

Hawa jamaa si wasomaji na wote wana fanana huwa wanaingia mitandaoni wanakariri hoja za wapinzani kisha wanazileta huku wanakuja kutupotezea muda unakuta wanaruka ruka tu,hawana hoja.
Wewe nakukalishaga na unakimbia, fuatilia mada zangu na wewe
 
Huyu namjua vizuri na mimi huwa siingii hoja nyingine mpaka ajibu swali nililo muuliza utaona tu mwisho atakimbia.

Hawa jamaa si wasomaji na wote wana fanana huwa wanaingia mitandaoni wanakariri hoja za wapinzani kisha wanazileta huku wanakuja kutupotezea muda unakuta wanaruka ruka tu,hawana hoja.
Ao ndo wale wa kukaririshwa aya moja kma anavofanya hlf wanalishwa chuki ushaona Uislamu unavosema yni wao kuamka na kulala kwao wanalishwa chuki tuu na Uislamu. wakati Waislamu Imani yao inawatosha wala hawababaiki kma wao.
Yni kukataa kwetu kua Issa sio Mungu na hajasulubiwa basi apo ndo pamezua mjadala mkubwa mpk leo hii
 
Safi kabisa kwetu sisi Chain ndiyo Dini kijana yaani bila chain hakuna jambo ndiyo maana tumejikita katika elimu ya uhakiki wa habari kuzichambua chain na kuzipembua.

Kwahiyo hatuwezi kutoka kwenye msingi,umesema uongo na unatikiwa ukiri hilo kisha tuendelee.
Nimeshamaliza Koran mlio nayo leo ni masimulizi wala hakuna original matini ya uthuman wala Muhammad, tuendelee
 
Wewe umeniogopa , unataka watu wasio Jua kitu uwasanganye , Kam kule ulidanganya ukifa tu muislamu unaenda kwenye hukumu, kumbe Kuna adhabu ya kaburi kwanza kabla ya hukumu, someni dini yenu ndio maana mnaona mkiwekewa maandiko yenu humu mnayapinga
mm sikujibu tena ww
hlf nikuogope una nn ww KAFIRI mmoja ivi
We KAFIRI wahi kwenye misa kule saivi ukaliwe pesa zako[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aaaah KAFIRIIIII
 
Eti Mola mlezi? inamaana mola halisi kaenda wapi adi atuachie mlezi.
 
mm sikujibu tena ww
hlf nikuogope una nn ww KAFIRI mmoja ivi
We KAFIRI wahi kwenye misa kule saivi ukaliwe pesa zako[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aaaah KAFIRIIIII
Kazi yangu ni kukunyoosha , ukiona unaanza kutoa lugha hizi Jua sindano imeingia
Kwa nini unadanganya watu wazima , muhammad kasema yeye ndie wa kwanza kufufuka wewe unadanganya
 
Hahaha,nimecheka sana hili hakijawahi tokea.

Hoja na maswali yangu ndiyo huwa yanakukimbiza,tuendelee.
Ok tumesha maliza Koran hakuna original matini

Turudi kwenye Aya zilizo potea unaongeleje

It was narrated that 'Aishah said:
“The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.” Sunan Ibn Majah 1944
verses zote za kupiga mawe na kumnyonyesha mtu mzima mara 10 zilipotea kwa kuliwa na mbuzi
Lakini kipindi cha Muhammad walikuwa wana practice
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....

Verse zilikuwepo
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).

Sahih Muslim 1452a
'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
 
mm sikujibu tena ww
hlf nikuogope una nn ww KAFIRI mmoja ivi
We KAFIRI wahi kwenye misa kule saivi ukaliwe pesa zako[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aaaah KAFIRIIIII

Huyu Mtume Alie kuwa anapenda sadaka kwanza kabla hamjaongea , pesa mbele ndio muongee

Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Mtume, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.

Utakalo sema utajibiwa na Koran kuwa makini unapo debate na mimi
 
Nimeshamaliza Koran mlio nayo leo ni masimulizi wala hakuna original matini ya uthuman wala Muhammad, tuendelee
Hahaha,kijana jenga hoja na ukosoe hoja kielimu kuandika tu bila hoja ni ujinga ukio pea.
 
Back
Top Bottom