Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Acha ujinga wewe!.Mtoto wa chekechea ufundisha kwa michoro kwa kuwa ndiyo anaanza kufundishwa vitu vipya.Mfano atapotajiwa jina MBWA mbele atawekewa mchoro/picha ya mnyama huyo mbwa.
Lakini mtoto wa darasa la saba anapotajiwa jina hilohilo MBWA mbele yake awekewi mchoro wa mnyama kwa sababu tayari alishamjua toka huko darasa la chekechea.

TORATI,ZABURI NA INJILI ni sawa na vitabu vya Shule za msingi,sekondari na high level.Lakini QUR'AN ni kitabu cha elimu ya juu (chuo kikuu).
Sasa ni mjinga pekee ndiye anaweza hoji eti aoneshwe amri 10 katika QUR'AN ili hali tayari amri hizo zilishawekwa kwenye vitabu vya nyuma huko na QUR'AN ilishavitaja kama rejea.

Alafu bila aibu unasema eti TORATI,ZABURI NA INJILI ni vitabu vya imani yako?Kiaje?.
Rubbish!
 
Nlipogundua Tu Kuwa Muhammad alikuwa Na Tabia Za kike nikaachana Na hio dini
 
Huoni Allah ni kafiri namba moja kwa kuyaumba makafiri?
Au Allah anasema makafiri yameumbwa na kafiri mkuu
Ametakasika Mola mlezi wa viumbe wote na sifa zote mbaya
Screenshot_20211122-035108.jpg
Screenshot_20211122-035131.jpg
 
Hapo sasa ndo mnapoishia kukufuru mna hamumjui uyo Mungu mwenyewe na wala Muhammad kwaio mm nipo mbali na nyinyi kabisaa
 
Ata ww ni kafiri kma humuamini Allah ww ni KAFIRI
  • Kwa nini unakimbia maswali yangu? nani ni muanzilishi wa kupokea pesa kabla ya huduma za kidini?
    • Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Mtume, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.
 
  • Kwa nini unakimbia maswali yangu? nani ni muanzilishi wa kupokea pesa kabla ya huduma za kidini?
    • Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Mtume, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.
Ukiachika achika basi jishtukie we ni mjinga tuu umesikia ww
 
Ukiachika achika basi jishtukie we ni mjinga tuu umesikia ww
  • Acha hasira na jibu kwa nini allah alianzisha kutoa pesa kwanza ndio huduma ifuate?
    • Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Mtume, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.
 
mm ni mtu wa kutekeleza Ahadi
Nilishakwambia kua sikujibu kwaio Achana na mm
 
mm ni mtu wa kutekeleza Ahadi
Nilishakwambia kua sikujibu kwaio Achana na mm
  • Mtu ambae hana sadaka muhammad alikuwa anamnyima huduma au?
    • Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Mtume, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.
 
Nilitaka uthibishe mwenyewe , nitakuwekea sura nzima katika kila mstari uliochomoa kwenye vitabu vya wenyewe uone kama hutarusha povu
Nasema HUNA UWEZO WA KUPINGA KUWA HIVYO VIFUNGU SIYO TORATI,ZABURI NA INJILI.

Nimemaliza.
 
9:30 - Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

{1. Hivi hayo maneno ya Qurani hapo ni nani anaongea?

Nimejitahidi kuwauliza wenye Dini yao hawajawahi kunijibu.
Pia kuna maswali mengi Sana hapo.

Na huyo Uzeir ni nani?

Na ni wapi Wayahudi walisema kuwa Uzeir ni Mwana wa Mungu?

Hao walio tangulia kukufuru kwa Kuwaita Uzeir na Masihi kuwa ni Wana wa Mungu kabla ya Wayahudi na Wakristo ni Akina Nani?

Na huyo anayemwomba Mwenyezi Mungu awaangamize Wayahudi na Wakristo kwa Kuwaita Uzeir na Masihi kuwa ni Wana wa Mungu ni nani? }

Unafahamu nini kuhusu hii
Aya ?
 
Allah alikuwa anajaribu sheria zake kama zitafanya kazi zikishindwa anazifuta?
Soma nilichokiandika,hakuna sehemu yq majaribio niliyo andika hapo au inaonyesha ya kuwa Allah alikuwa anafanya majaribio. Bali hata akili iliyo salama haikubaliani na ulichokiandika.
 
Madrassa hatukufundishwa kuelewa mambo... tulikaririshwa kiarabu Kwa fimbo nyingi
Mimi ninesoma Madrasa ila kwa kufikiria kwa usahihi hamnifikii wewe na wakubwa zako wote.

Dini yetu inatutaka tufikirie kwa usahihi na hakuna dini nyingine yoyote inayohimiza watu kufikiria na kutumia akili kushinda Uislamu.
 
{1. Hivi hayo maneno ya Qurani hapo ni nani anaongea?

Nimejitahidi kuwauliza wenye Dini yao hawajawahi kunijibu.
Pia kuna maswali mengi Sana hapo
Hakuna swali rahisi kama hili. Hayo ni maneno ya Allah anayeyawasilisha ni Mtume kama yalivyo.
Na huyo Uzeir ni nani?

Na ni wapi Wayahudi walisema kuwa Uzeir ni Mwana wa Mungu?
Uzeir ni katika waja wema walio wahi kuishi zama hizo.

Mayahudi walio ishi kipindi cha mtume waliyasema haya na Mayahudi wa al Asfahani kadhalija walikuwa wanayadai haya. Rejea Tafsiri ya Qur'aan ya Ibn Kathir utayakuta haya.
Hao walio tangulia kukufuru kwa Kuwaita Uzeir na Masihi kuwa ni Wana wa Mungu kabla ya Wayahudi na Wakristo ni Akina Nani
Walio kufuru hapo wapo wengi wakina Firauni walikufuru bali katika kila zama za manabii na mitume waliishi na watu walio kufuru,baba yake nabii Ibrahim na mfano,watu wa nabii Nuhu walikufuru,watu wa nabii Lut walikufuru.

Aya haisemi walio kufuru kabla yao nao walisema kuwa Issa ni mwana wa Mungu la bali ni hawa Wakristo baada ya Isa kuondoka wakadai ya kuwa Isa ni mwana wa Mungu basi.

Maana ya kufru ni kuificha haki na kudhihirisha ukafiri na ushirikina.

Kwahiyo ukisoma aya soma uielewe kwanza.
Na huyo anayemwomba Mwenyezi Mungu awaangamize Wayahudi na Wakristo kwa Kuwaita Uzeir na Masihi kuwa ni Wana wa Mungu ni nani? }
Maneno ya Allah hayo anayatamka Mtume wa Allah kwa maana awaombee maangamivu walio kufuru.
 
Nasema HUNA UWEZO WA KUPINGA KUWA HIVYO VIFUNGU SIYO TORATI,ZABURI NA INJILI.

Nimemaliza.
Huwa nataka mtu akiri kwanza ndio nimlipue ili usileta sababu za kitoto
Naanza na injili kama ulivyo Nukuu kutoka kwa Yohana 17 transilation ya SUV
  • Yesu akasema "Baba, saa imekwisha kufika" Je unaamini Yesu ana Baba ambae yupo mbinguni?
    • 1 Maneno hayo aliyasema Yesu; akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imekwisha kufika. Mtukuze Mwanao, ili Mwana wako naye akutukuze wewe;
  • Yesu anasema amepewa mamlaka juu ya wote wenye mwili na kwamba atawapa wote wenye mwili uzima wa milele, Je unaamini hili?
    • 2 kama vile ulivyompa mamlaka juu ya wote wenye mwili, ili kwamba wote uliompa awape uzima wa milele.
  • Yesu anasema uzima wa milele ndio huu wamjue aliemtuma ambae hapo juu Yesu kasema ni Baba yake ndio kamtuma!! upo na unaelewa?
    • 3Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
  • Yesu anasema amemtukuza Baba yake na amemaliza alichotumwa kufanya , kimetajwa hapo juu atupe uzima wa milele, Unaamini uzima wa milele tunapata kupitia Yesu?
    • 4Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.
  • Yesu anasema alikuwepo kabala ya ulimwengu kuwepo na Alikuwa na Baba pamoja, Yesu hapa najizihirisha Yeye na Baba ni wamoja na kwa ku copy kwako hapa inamaana unaamini Yesu ni Mungu au umejikopia tu vitabu havikuhusu?
    • 5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
Nimemaliza maswali yangu bila kuweka hypocrisy jibu hayo maswali? nipo
 
Back
Top Bottom