Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

  • Acha hasira na jibu kwa nini allah alianzisha kutoa pesa kwanza ndio huduma ifuate?
    • Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Mtume, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.
Kwanza maana ya sadaka sio pesa ni chochote ulichonacho .
Pia hii ni hususia(kitu maalumu) alichopewa mtu maana ukienda kusemezana nae umpe sadaka aya haikuja kwa mtu mwingine yyte baada yake si Khalifa wala imamu baada yake ambae amepewa ruhusa ya hii .
Tatu katika sifa za Mtume alikua hali sadaka atapokea na kuigawa wanao stahiki lakini yy hali Mtume alikua anakula zawadi na sio sadaka.
 
Kifupi tu! hiyo Median ilikuwa ni sehemu ya Ethiopia ya leo, hii nchi ilitambaa mpaka India, na haikuwahi tawaliwa! ramani ilibadirishwa baadae sana! ajili ya vita za mara kwa mara!
Hakuna Racial cognition ya waarabu Duniani kote! wale unaowaona ni sawa na wapemba, wagunya, wamanga,(wakiwa Bongo) coloured (wakiwa SA), Mullatoes(USA), Latino Americans,= Waarabu(wakiwa uarabuni) kifupi wale ni damu mchanganyiko na sisi!

ila sasa hawatutaki! wanatamani wawe wazungu na wazungu hawakubari kuwa nao! ndo wakajiita waarabu!(notorious slave traders) mpaka leo hawata tukubali!! ukisha changanya damu tu ndo baaasi tena!

angalia tu mifano iko mingi, vitoto vya Remmy, sarungi, haviko kwa wa-Bongo kiviile!! ikitokea basi kumi kwa mmoja! km Obama aliukubali uafrica lkn angalia vitoto vyake maweee!! vimerudi kuleee!! kwa baba yao!

ila sasa kujisikia! na ukatili walio tufanyia wanajiona wao ni tofauti na sisi! (ARAB Countries are geographically politically formed nations!) wale ni wagunya tu! hkn mjadala! kasome (Harlems camp)

ile Middle E.yooote ni Africa kaskazini Mashariki ni mali yetu sisi weusi tu! haina ubishi! ndipo asili yetu tulipotokea! piga ua galagaza hatudanganyiki!! km wewe ulidanganywa eti umetokea Cameroon ndo nakufungua akili sasa! funguka Mgalatia!

acha hizo propaganda za weupe! sahau!... sijui salem! mwee?!! wapi na wapi? weupe wanajipendekeza sana kwenye HX ya weusi! ili kupindua ukweli wa Historia na kweli wamefanikiwa saabu weusi km wewe mmelewa kwishne! hamuelewi kabisa!

wapagani ni weupe walijifunza dini kwa weusi, kutoka mashariki ya kati ambayo ni Africa! hili jina mashariki ya kati lilianzishwa na wazungu juzijuzi tu hapa! hata Historia ya leo ukisoma vizuri weusi hatuchomoki Mashariki ya kati toke mto Tigris mpaka Nile river!! asa nakuuliza mto Nile umeanzia wapi? , Bonde la ufa la E, Africa Sisi tumo na mlima wetu kilimanjaro umo!

wana wa israel walikimbia kufuata bonde la ufa! kwa nini? je hao waarabu wako walifukuzwa na nani? notorious slave traders! wanajua utumwa wale? mweee! utumwa na Israel ni chanda na pete mpaka leo! haina ubishi! sisis haoooooooo! wateule wa Mungu jitambue dogo!

Na vitabu vilivyo zungumzia ubaya wao vimefichwa Vatican! vilibebwa kwa matani na meli za kigiriki kwenda kufichwa huko!
 
Uzeir alikua ni mja katika wayahud kuna wengine wanasema alikua nabii na wengine wanasema alikua mje mwema na katika muujiza ambao ilulimtokea Uzeir ni kule kulala kwake kwa muda wa miaka 100 alipoamka hakuzeeka yaani alikua vile vile kwahiyo mayahud wakasema haiwezekani kwa binadamu kulala kipindi kirefu hvy wakamuita mwana wa Mungu kama wakristo wanavyosema haiwezekani kwa mtoto kuzaliwa bila ya baba isipokua baba yake atakua Mungu.
Huyo ayaesema hapo sio Mtume ni me/Mungu mwenyewe akimuelezeq Mtume wake
 
Labda kuna sehemu hujasoma vzr hii unayoiongelea kwa kiswahili chetu inaandikwa Madyani a hiyo unaoisemea iko saud arabia ni madina wazungu wanaadika medina hvyo ni sehemu mbili tofauti
Na huy unayemuongelea alikua ni mtume anaitwa Shua'ib lakini sote tunajua Musa alipewa utume rasmi kwenye mlima wa sinai
 
Maneno ya Allah hayo anayatamka Mtume wa Allah kwa maana awaombee maangamivu walio kufuru.
Kwa hiyo unakiri leo koran ina maneno ya Muhammad pia au?
EMBU weka ushahidi allah kamwambia muhammad awaombee , maana kwenye aya hakuna
30. Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

Kwa nini watangulize kwanza , kama mtu hana? inamaana huduma ya muhammad ya sirini kaikosa
Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Mtume, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.
 
hujapigwa umejipiga!! kwa nini uwafuate wao? kwani umelazimishwa? una utashi wa kufuata yako!! kiherehere chenu kwenda huko kupata bakshishi ya wali! Birian!
 
Kwa nini watangulize kwanza , kama mtu hana? inamaana huduma ya muhammad ya sirini kaikosa
Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Mtume, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.
Kumbe hata aya yenyewe hujaimalizia imalizie kuisoma kisha uje
 
hujapigwa umejipiga!! kwa nini uwafuate wao? kwani umelazimishwa? una utashi wa kufuata yako!! kiherehere chenu kwenda huko kupata bakshishi ya wali! Birian!
Kisha uisome hy aya inayofuata kisha tuendeleze mjadala
 
Kwa nini watangulize kwanza , kama mtu hana? inamaana huduma ya muhammad ya sirini kaikosa
Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Mtume, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.
Isome aya inayofuata kishatendeleze mjadala kama jina la sura[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Yesu wa Uarabuni anaelezewa alikua ni Mtume mtukufu miongoni mwa Mitume wa tano bora na mama yake ni mwanamke mtukufu zaidi ulimwenguni kuliko wanawake wote.
Wayahudi hawaamini kabisa katika Utume au Uungu wa Yesu, wanamuelezea kama ni mtoto aliyepatikana nje ya ndoa(mwanaharamu) na wanamuona mama yake ni mwanamke mzinzi.
 
Isome aya inayofuata kishatendeleze mjadala kama jina la sura[emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 2020699
WEKA text usiweke picha,
58:13. Mnachelea kutanguliza hiyo sadaka kabla ya kusemezana kwenu? Ikiwa hamkufanya hayo, na Mwenyezi Mungu akapokea toba yenu, basi shikeni Sala, na toeni Zaka, na mt'iini Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda.

waislamu walipo ona wanatakiwa kutoa mali kwanza ndio wamuone Muhammad wakagoma , ndio allah akawaambia aya ya 13
Tafsîr Ibn ‘Abbâs When they stopped speaking with the Prophet (pbuh) because of the required almsgiving involved

hiyo aya anasisitiza watoe sadaka kwanza, kama hamwezi hakuna huduma ya sirini na muhammad, nabidi ushike sala na utoe zaka
Nani katamka haya maneno , kama ni allah kwanini anasema mtiini Mwenyezi Mungu ?
 
Ulikua unataka asemaje
Kisha hapo aya imeshasema kama hauna M/aanafanyaje
 
Ndg mbona aya inajieleza hata tafsiri haihitaja sidhana kama unahitaji ufafanuzi aya imesema kama huna chakutoa basi shikeni sala na sadaqa hijalazimisha kutoa ila imesisitiza kwa kusema huo ni usafi kwenu
 
Ndio point yangu kama huna umeambiwa uende ukashike sala , huwezi kumuona Muhammad na kuongea siri zako
Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Mtume, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…