Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Acha kudhihirisha ujinga wako hpa
ivi makanisani na misikitini wapi kuna kua na ibada za mapepo?

Nijibu ilo swali kwanza hlf ndo uongee ujinga wako
Makanisani tunapambana na adui ambae anatoka apa
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
 
Makanisani tunapambana na adui ambae anatoka apa
Koran 19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
[emoji706][emoji706][emoji706] sijakuuliza ww hlf m nishakwambia sikujibuuu
 
[emoji706][emoji706][emoji706] sijakuuliza ww hlf m nishakwambia sikujibuuu
Unataka mtu asie Jua Koran 😀😂😆
Allah anasema
19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?

Nafikiri umeshajua kwa nini makanisani wanapambana nayo
 
Acha kudhihirisha ujinga wako hpa
ivi makanisani na misikitini wapi kuna kua na ibada za mapepo?

Nijibu ilo swali kwanza hlf ndo uongee ujinga wako
Mi nazungumza kwakuwa Majini wenyewe wanakiri kuwa ni Maislamu na yanaswali Msikitini.
na Muhammadi ni moja katika mitume wao na Muhammadi mwenyewe anakiri kuyasilimisha Majini.

Hivi mlishawahi japo kusikia Mtume japo mmoja tu wa kwenye Torati, Zaburi au Injiri kwamba aliwahi kushirikiana mambo ya Ibada zake kwa Mungu pamoja na Majini kama Musa au huyo mnaye Mwita Issa ?

Majini yanadiriki kufanya undugu na Waislamu na nyinyi wala hamlijadiri hili kwa tahadhari.

Sisi tulipokuwa wadogo kule nyumbani, wazee walituusia kabisa kuwa

"Kamwe msiguse kitabu cha Qurani ni Kitabu cha Majini"

Na walikuwa sahihi kabisa Majini yanasoma Qurani tena kwa usahihi kupita binadamu.

Mi nazungumza swala hili kwa Upendo wa kutoka Moyoni kabisa kwamba.

Pateni Muda Mtafakari Kidogo basi.
Kwamba

(Hivi kweli ni sahihi sisi Waislamu tushiriki Ibada na Majini kama Mtume wetu Muhammadi alivyotuagiza, na kauli za Majini yenyewe ? )

Jambo jepesi kabisa hili halina haja ya kulifumbia macho.

Haiwezekani kushea kila kitu cha ibada yenu na Majini mabaya kabisa kama Jini Subiani halafu mbaki salama.

Mi naongea ktk nia njema kabisa jadilini hiyo Mada mtapata kitu flani kipya.
Msiwe wa ndio ndio tu wakati Mwenyezi Mungu amewapa Hekima ya kutafakari mambo.
 
Kauli yangu iko pale pale na hapa nina maswali kadhaa kuhusu Waraqah bin Nawfal huyu alikuwa ami wa mke wa Mtume,mama yetu Khadija na husemwa ya kuwa katika watu wa Mwanzo kumkuba Mtume na kumuhami ni huyu yaani kwa maana nyingine ni mtu wa mwanzo kwa watu wazima kuukubali ujumbe wa Mtume.

Maswali yangu kuhusu Waraqah naomba unipe majibu.

1. Weka ushahidi ya kuwa Waraqah alikuwa ni Mkristo.

2. Weka ushahidi kuonyesha ya kuwa Waraqah aliandika Qur'aan.

Kuhusu huyu mkristo wa pili. Nionyeshe au nipe ushahidi unaonyesha ya Mtume alikuwa anaenda kufukua kaburi lake.

Baada ya hapo nukta hii itakuwa imekwisha.
 
Mubarridi tumeanza na point ya kwanza, nipo
Nilichokisema bado unaendelea kukuthibitisha yaani nukuu unazoziweka ni tofauti na unacho kielezea yaani ni vitu viwili tofauti.

Sasa ombi langu ni hili,hakuna kwenda nukta nyingine mpaka hii iishe na maswali yangu ninayo kuuliza lazima uyajibu ndiyo tuendelee.
 
Tuanze na hili kwanza , unakubali Allah na Muhammad uwa wanapatana kwenye jambo lao kabla alijafanyika?
Koran 33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
 
Usiharibu utaratibu. Jibu kwanza maswali niliyo kuuliza,kisha tuendelee.
 
Usiharibu utaratibu. Jibu kwanza maswali niliyo kuuliza,kisha tuendelee.
Ndio nataka nilete ushahidi wa kaburi kufukuliwa , je unaamini Muhammad na Allah wanapatana kwanza kabla ya jambo
Koran 33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
 
Hakuna uhusiano hapo kijana,wewe jibu maswali ya kuanzia ukristo wa Waraqah na hilo la kaburi.

Hiki unachokileta hapa muda huu hukiwezi kadhalika sababu nina maswali mazito kadhaa kuhusu hicho unachotaka kukileta. Sasa usipoteze muda.
 
Sijaelewa hicho kizungu ila it's absolute 😂😊😊😊
 
Hakuna uhusiano hapo kijana,wewe jibu maswali ya kuanzia ukristo wa Waraqah na hilo la kaburi.

Hiki unachokileta hapa muda huu hukiwezi kadhalika sababu nina maswali mazito kadhaa kuhusu hicho unachotaka kukileta. Sasa usipoteze muda.
Issue ilianzia hapa baada ya Allah na Muhammad kuamua kijana afe , wananchi wakamzika , ila kila asubuhi wakiamka wanakuta mwili umefukuliwa upo nje ya kaburi, fikiria hizi hasira za Allah na Muhammad

.....Then Allah caused him to die, and the people buried him, but in the morning they saw that the earth had thrown his body out. They said, "This is the act of Muhammad and his companions.....Sahih bukhari 3617
 
Kijana nimecheka sana,hujawahi kuwa na hoja. Hapa inaongelewa laana ya Allah kwa mja wake huyo. Sasa hoja yako iko wapi ?

Hujaona laana ya Allah kwa Firaun ? Ambapo Allah alichukua ahadi ya kuiweka maiti yake mpaka wale waliofata wakaiona ? Sasa usichanganye mambo,hii ni laana yaani kama adhabu tu.

Bado hujajibu hoja yaani sisi tunasema hivi kwamba Allah aliiamrisha ardhi imteme mtu huyo.

Hapa bado hujathibitisha kufukuliwa kwa kaburi hilo mosi.

Pili,hujathibitisha ya kuwa Waraqah alimuandikia Qur'aan Mtume na hujathibitisha ya kuwa Waraqah bin Nawfal alikuwa Mkristo.
 
Unacheka hasira za Allah na Muhammad
Walikubaliana afukuliwe kila akizikwa , hilo nimemaliza , nakuja na waraka
 

Alafu kwa nini muhammad na Allah walimtoa uhai mkristo na alicho sema ni kweli muhammad hajui kilicho andikwa
 
Kijana kaandika Kati ya sura kubwa sana kwenye Koran maana Kuna zingine zina Aya 3 tu , alllaha na Muhammad wanamuua kikatili kwa kusema kweli muhammad hajui kilicho andikwa , mwisho wa siku Allah na Muhammad wanakubaliana kumfukua kila akizikwa , why?
 
Unacheka hasira za Allah na Muhammad
Walikubaliana afukuliwe kila akizikwa , hilo nimemaliza , nakuja na waraka
Sasa ulichokiandika unaona kipo sawa na uhalisia ?

Yaani unaandika kingine na uhalisia unakiwa kinyume na wewe.

Ndiyo maana nilikuuliza hivi kwanini u muongo kijana ?

Hiyo ni adhabu kijana.

Hili limeisha,turudi kwa Waraqah bin Nawfal bin Abdil 'Uzza.
 
Alafu kwa nini muhammad na Allah walimtoa uhai mkristo na alicho sema ni kweli muhammad hajui kilicho andikwa
Alisema ni uongo ndiyo maana akapewa adhabu na Allah na ile ni laana kama alivyo laaniwa Shetani na waovu wengine wote.

Ndiyo maana mpaka sasa hivi hujaonyesha wapi Mtume alishiriki kufukua kaburi hilo.
 
Hili nimeshalimaliza,turudi kwa Waraqah,jibu maswali niliyo kuuliza.

Hapa hakuna kwenda nukta nyingine mpaka ujibu maswali niliyo kuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…