Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Karata tatu ni uchawi au ni triki tu si uchawi?

Umetoa majibu yote mawili ukajichanganya mwenyewe..
 
Karata tatu ni uchawi au ni triki tu si uchawi?
Soma post # 998.
Umetoa majibu yote mawili ukajichanganya mwenyewe..
Sijatoa majibu mawili. Shida hutunzi kumbukumbu ndiyo maana nikakwambia hivi tukiamua unukuu nilichokiandika neno kwa neno huwezi kukuta hichi unacho kidai,sehemu niliposema kwamba si kila triki ni uchawi nilipokuwa nakosoa mfano wako wa Mwanasiasa.

Kijana ukitaka kujadiliana na mimi hakikisha una kumbukumbu nzuri na uwe na uwezo mkubwa tena ulio tukuka wa kunukuu.
 
Kiranga kimyaaaaa! Sindano imemwingia
 
4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

[ Je 'Nasi' ni akina nani ?
Ilibidi nitumie muda kidogo kupitia baadhi ya Aya ili kuona ni akina nani wanajitambulisha kama
"Nasi" katika Qurani ]

Surat Al-Jinn.
Sura ya Majini inasema.

72:1 - Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!

72:2 - Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.

72:3 - Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana.

72:4 - Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu.

72:5 - 'Nasi' tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu.

72:6 - Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.

72:7 - Na kwa hakika wao walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi, ya kuwa Mwenyezi Mungu hatamleta Mtume.

72:8 - 'Nasi' tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.

72:9 - Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!

72:10 - 'Nasi' hatujui kama wanatakiwa shari wale wanao kaa kwenye ardhi au Mola wao Mlezi anawatakia uwongofu.

72:11 - Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine wetu ni kinyume na hivyo. Tumekuwa njia mbali mbali.

72:12 - 'Nasi' tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.

72:13 - 'Nasi' tulipo usikia uwongofu tuliuamini. Basi mwenye kumuamini Mola wake Mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa.

[ Kutokana na hizo Aya, ni wazi kabisa Sura ya An-Nisaa.
yaani 4: 79.
Inaelezea jinsi Majini yalivyomtuma Muhammadi kwa watu ili awe mtume na Mwenyezi Mungu akiwa anashuhudia.
Na kwakuwa Majini hayo pasi na shaka yalikuwa ni Maislamu basi hakuna shaka yoyote ile ujumbe uliotumwa ulitimiza lengo husika]
 
Naona jamaa kaenda kujitutumua wiki 2 nzima alete hizi aya

Nakwambia tena kma kitabu cha kiswahili ambayo ni lugha yko mama umefundishwa ndo ukpta kujua maana ya Nahau,Sarufi na vyenginevo sasa itakuaje kiarabu ambacho ata hujui ata kuuliza hali?
Jitafakari kijana acha ububusa.
 
Embu mujibu ao nasi ni kina nani?
4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
 
4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

Kuna maali tunaachana kwenye hoja , unadai nasi ni Allah , sawa Allah kamtuma mtume , huyu Mungu ambae Kawa shahidi Allah anapo mtuma Muhammad ni yupi?
 
Mwanzoni zilikuwa mbili. Baadae katika kuwaridhisha/kuwashawishi/kutafuta kukubalika kwa wayahudi waliompokea Madina, Muhamad aliamrisha ziwe tatu kuendana nao. Sasa zilifikaje tano. Tuendelee na usomaji hapa.
simulizi yako haifanani na vitabu vya waislamu wenyewe, ukipata muda anza na huraswa nurul yaqin
 
simulizi yako haifanani na vitabu vya waislamu wenyewe, ukipata muda anza na huraswa nurul yaqin
Izo ni chuki tuu walokua nazo hao wala hawajui ukweli ni upi wao wakishamezeshwa chuki wanazibeba kma zilivo
 
Mwanzoni zilikuwa mbili. Baadae katika kuwaridhisha/kuwashawishi/kutafuta kukubalika kwa wayahudi waliompokea Madina, Muhamad aliamrisha ziwe tatu kuendana nao. Sasa zilifikaje tano. Tuendelee na usomaji hapa.
Lete maandiko usilete porojo kama hizi
 
lete hiyo Aya
 
Mwanzoni zilikuwa mbili. Baadae katika kuwaridhisha/kuwashawishi/kutafuta kukubalika kwa wayahudi waliompokea Madina, Muhamad aliamrisha ziwe tatu kuendana nao. Sasa zilifikaje tano. Tuendelee na usomaji hapa.
ukipata wakati soma kuhusu kisa cha israa na miraj utafahamu kuwa swala za mwanzo sio mbili zilianza 50+
 
ufafanuzi wako huu unapingana na kitabu cha kiislamu kinaitwa siyaru alami annubala
 
Ukiona mtu anapotosha wewe weka ukweli , utakuwa umemmaliza kabisa na hata rudia

swali la sisi tumemtuma hujajibu mpaka leo
Yni asojua maana haambiwi maana
mm ilo swali nishalijibu
nashangaa ww yle maswali ma3 mpk leo hujayajibu na hutoweza kuyajibu mpk unakufa

Hlf siongei na ww kma ukitaka kuongea na mm jibu yale maswali yangu
 
niambie maswali yapo post namba ngapi?
swali hujajibu , Allah kamtuma mtume alafu mwenyezi mungu kawa shaidi , embu jibu kwa kina
 
Yni asojua maana haambiwi maana
mm ilo swali nishalijibu
nashangaa ww yle maswali ma3 mpk leo hujayajibu na hutoweza kuyajibu mpk unakufa

Hlf siongei na ww kma ukitaka kuongea na mm jibu yale maswali yangu
aya maswali yapo post number ngapi?
 
Wengi sana wanadai biblia imebadirishwa ila asilimia zaidi ya 70 ya kilichoandikwa kwenye quran kina akisi kile kilichomo katika biblia iliyobadirishwa ..sasa madai ya kuwa biblia imebadirishwa yana base kwenye aya gani au zinazozungumzia uungu wa Yesu na kufa kwake??
 
Tafuta kitabu kinaitwa "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then And Now" cha Dr. James Kugel.

Unaweza kusoma muhtasari hapa.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…