Hii umeweka hapa kwa munasaba gani ?Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
Huko mwanzo ulizungumzia aya.Nilikwambia Aisha kasema kunyonyesha mtu mzima ilikuwa mara 10 Allah akashusha ikawa mara 5 wewe unasema ni uongo wa wazi sasa wewe na mke mtoto wa Muhammad nani mkweli
Kadhalika kuhusu la kufutwa hukumu hili nilikueleza wazi huko mwanzo na nikakupa sababu katika Uislamu katika Hadithi na Qur'aan kuna kipengele kiitwacho Naskh wa al Mansukh (Kilicho futwa na kinachofuta)
Kwanini tusimuani mama yetu ?Au kwa sababu mke wa muhammad mtoto wa miaka 6 Aisha tusiamini ushahidi wake?