Chin bees amujibu vikali chid benz

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Msanii mkali anayetamba na hit song mbali mbali kama nyonga nyonga chin bees amemujibu mkali wa ilala chid benz kuwa aache kumufata fata na kumufatilia na ajali maisha yake mwenyewe

Chin bees kadai jina lake halifanani hata tone na jina la chid benz na yeye saiv hapiganii jina bali anapigania muzik wake hivyo kamtaka chid benz afate mambo yake achane na chin bees

Tukumbuke week iliyopita chid benz alidai chin bees abadili jina kwa kuwa jina lake linafanana sana na chid benz lasivyo asipobadil jina atamutafuta

Nawasilisha

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana watu wa mungu

LONDON BABY
 
Chid Benz namfahamu ni rapper sasa uyo mwingine ni nani tena,kweli idadi yetu ni 50+ Milioni [emoji23][emoji23]
 
Na wale Simba ugomvi wao uliishaje? Na mamba nao walimalizana vipi? Wasanii wa bongo bana wanafurahisha sana. Na mimi nikiamua kujiita manyupa tutaingia katka bifu kali ee?
 
Andika chanzo enewz, jamaa anatafuta umaarufu tu Dogo chin bees apige kazi
 
Nanyupu we ni muha???
Amujibu
Amemujibu
Kumufata
Kumufatilia
 
Namuunga mkono Chid Benz jamaa inabidi abadili jina kwa faida ya wote
 
Wasanii wa Tz vituko sana

Wengine walikuwa wanagombea U simba na u mamba

Haya hawa Chini bees na Chidi benz
Ukituliza akili Tz utakuwa unacheka kila siku bila kulipia huduma
 
Aisee huyo Chin bees ameimba wimbo gani ¿??¿ naona na mimi nimeshakuwa muhenga sasa jaman

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Chid tulia upe promo wimbo wako achana na kiki za pikipiki.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…