Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Msanii mkali anayetamba na hit song mbali mbali kama nyonga nyonga chin bees amemujibu mkali wa ilala chid benz kuwa aache kumufata fata na kumufatilia na ajali maisha yake mwenyewe
Chin bees kadai jina lake halifanani hata tone na jina la chid benz na yeye saiv hapiganii jina bali anapigania muzik wake hivyo kamtaka chid benz afate mambo yake achane na chin bees
Tukumbuke week iliyopita chid benz alidai chin bees abadili jina kwa kuwa jina lake linafanana sana na chid benz lasivyo asipobadil jina atamutafuta
Nawasilisha
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana watu wa mungu
LONDON BABY