China achafua hali ya hewa

China achafua hali ya hewa

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Hicho ndicho anachosema sema NASA.

Hii ni baada ya rocket buster yake LONG MARCH 5B kushuka pasipo mpangilio maalumu, na pasipo taarifa.

Hii ni hatari manaa inaweza kuharibu mali za watu, au kuhatarisha maisha ya wanadamu. Kwa kawaida, kwa wabobezi wa anga za juu hicho kiuno, ama tumbo, ambalo ndio booster hutakiwa kuachiliwa kwa maesabu makali ili kuhakikisha lote linaungua angani hicho kuepusha hatari. Lakini kwa wenzetu wa China hali ni tofauti kwani hii ni mara ya pili waaanxhia ma scaper yao humu duniani.

Yaan kweli mchina vitu vyake vimeshindikana! Yaan badala limongonyoke lichuma ndo kwanza linakakamaa. Kuna siku mtu atakula chuma ya kichwa.

images (1) (16).jpeg
 
Nancy Pelosi anaenda Taiwan! Amezunguka kupitia bahari ya Ufilipino, amekwepa kutumia bahari ya kusini mwa china! Je amefanya hivo kuepuka uchokozi?
Screenshot_2022-08-02-16-24-34-59_8a6ce7ef6b1c5341b022b20d7fbb4b6e.jpg
 
Siyo Rahisi kufanya reverse engineering my friend!!!
Ebu fanya reverse engineering ya pin ya kumfunga mtoto nepi na uweke matokeo yako hapa JF.
Mchina ndo kitu anawezaa
 
Back
Top Bottom