Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Kama mjuavyo mkutano wa 9 wa Ushirikiano wa China na Afrika unaanza Karibuni.
Je kama Taifa Nani anatuwakilisha huko? Boeing 787 kwa hewa hadi China?
I'm sorry Januari!
NB: Katibu Mkuu wa Chama asikose kwenye msafara tafadhali.
Pia, Wasanii wa bongo movie 200 wasisahaulike kwenye hii safari wakajifunze China miezi mitatu.