China imefuta kuba/dome kwenye misikiti yote, haicheki cheki na wafia dini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Ilitoa sharti kama lazima msikiti ujengwe kwenye ardhi yake lazima muundo uonekane wenye mandhari ya Kichina, na Mchina yeyote anayejiunga kwenye dini ya muarabu anapaswa atambue yeye ni Mchina kwanza kabla kuwa muislamu.
Uzalendo uanzie China kabla hujaanza kubwatuka kiarabu
Makobaz mnaopenda kuishobokea China mna kazi.
----------------
The last major mosque in China to have retained Arabic-style features has lost its domes and had its minarets radically modified, marking what experts say is the completion of a government campaign to sinicise the country’s Muslim places of worship.

The Grand Mosque of Shadian, one of China’s biggest and grandest mosques, towers over the small town from which it takes its name in south-western Yunnan province.

Source: The Guardian
 
Bora misikiti inabaki kuwa misikiti,
Makanisa wanayafunga na kutembeza kichapo kwa wagalatia mbuzi

 
Wewe dickhead
Mwenzio akinyolewa wewe tia maji
Mmefikiwa

View attachment 3521773
View attachment 3521775

Hii mbona sawa, sisi hatuna huo usenge wenu wa kung'ang'ania kubadilisha mila za watu na kusimika pumba na uzombi wa waarabu.
Nyie huwa mumetokwa na uzalendo hadi wa mataifa yenu na kufanya kila kifanyachwa na miarabu.
Unakuta kenge mswahili kutwa kubinuka binuka na likanzu umeelekea Makkah ambapo hata haujui ni wapi huko.
 
Makende brain
Na hilo hapo walijenga bila kufuata masharti wamelifanya nini ?

 
Naona mnapambania dini zenu haya mi naagiza safari lager nikipitia nyuzi zenu
 
Sasa wataendaje peponi bila kujua kiarabu wakati allah anajua kiarabu pekee kama mizimu ya kisukuma inavyojua kisukuma pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…