Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Si kila nadharia inaushahidi. Zingine huja n matokeo yanayo onekana muda ukifikaUshahidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kila nadharia inaushahidi. Zingine huja n matokeo yanayo onekana muda ukifikaUshahidi?
Mna bwana yupi sasa?Wasitutishe tuna bwana.
Ipo ila ni mali halali ya BWANA ROSTAM AZIZI KAMA ILIVYO KWA GESIThorium, Tanzania lazima ipo hii.
💡 Nchi ya China imegundua chanzo Cha nishati mpya isiyo na kikomo inaitwa thorium , imeripotiwa kugundua hifadhi hiyo kubwa ya Thorium katika eneo la uchimbaji wa madini LA bayan Obo huko Mongolia.
💭 Nishati Hiyo ambayo imegunduliwa kwenye Kaya zaidi ya 233 zenye utajiri wa thorium zimeweza kutambuliwa nchini kote China, huku Tani milioni moja zikikadiriwa kuwa Eneo la Bayan Obo.
🔆 nishati Hiyo inayotokana na Thorium inatoa mbadala safi zaidi ya Mara mia mbili ya Nishati ya uranium's.
🔆 Thoriamu ni nyingi mara 500 kuliko uranium-235, ikiwa na taka ndogo za nyuklia na hatari zenye kuyeyuka.
🔆 China inapanga kujenga viwanda 24 vipya vya nyuklia ifikapo 2030, na hivyo kuimarisha msukumo wake wa uhuru wa nishati.
🚀 Kubwa zaidi ni uwezo wa nishati hii kuweza kutoa nguvu ya Umeme kwa matumizi mbalimbali nchini China kwa zaidi ya miaka 60,000 bila kikomo.
No research no right to say.Si kila nadharia inaushahidi. Zingine huja n matokeo yanayo onekana muda ukifika
Kwa akili za Wachina, hata Rais wao akitawala mpaka kifo mtu mwenye akili timamu hawezi kulalamika. Ila siyo Afrika!
💡 Nchi ya China imegundua chanzo Cha nishati mpya isiyo na kikomo inaitwa thorium , imeripotiwa kugundua hifadhi hiyo kubwa ya Thorium katika eneo la uchimbaji wa madini LA bayan Obo huko Mongolia.
💭 Nishati Hiyo ambayo imegunduliwa kwenye Kaya zaidi ya 233 zenye utajiri wa thorium zimeweza kutambuliwa nchini kote China, huku Tani milioni moja zikikadiriwa kuwa Eneo la Bayan Obo.
🔆 nishati Hiyo inayotokana na Thorium inatoa mbadala safi zaidi ya Mara mia mbili ya Nishati ya uranium's.
🔆 Thoriamu ni nyingi mara 500 kuliko uranium-235, ikiwa na taka ndogo za nyuklia na hatari zenye kuyeyuka.
🔆 China inapanga kujenga viwanda 24 vipya vya nyuklia ifikapo 2030, na hivyo kuimarisha msukumo wake wa uhuru wa nishati.
🚀 Kubwa zaidi ni uwezo wa nishati hii kuweza kutoa nguvu ya Umeme kwa matumizi mbalimbali nchini China kwa zaidi ya miaka 60,000 bila kikomo.
Wazee wa fursa wanatafuta angle ya kumuita mwekezaji toka uarabuni ili wapige hela😄Thorium, Tanzania lazima ipo hii.
Mpaka leo dunia na waliomo wameaminishwa kwa asilimia kubwa kwamba dunia ndio inazunguka jua. Lakini wapo kiimani wanaona kwamba jua nalo lina mzunguko wake as long as lipo kwenye space kama maumbo kengine yalivyo. So msemo wa no researc no right to utter kwa upande mwingine haina mashiko. Sio mpaka ufanye utafiti kuweza kung'amua jambo fulani.No research no right to say.
Hatujafikia ukomavu wa taasisi kuaminiwa na kukabidhiwa kinu cha nyuklia, maintainance ya hizo mbanga sio lelemama mkuu----IPO HAJA NCHI ZETU TATU, EAC, ZIKAANZISHA MRADI WA KIPEKEE WA AINA HII - - - -, KWA UMEME WA ZAIDI WENYE BEI NDOGO, sijui watachukiwa wazo hili jema kwa future ya EAC, Especially, Kenya, Tanzania na Uganda.
Ardhi yenu una upako ila sio nyinyiHahaha watukome tuna upako dunia nzima
Dhana ya kwamba jua nalo lina mzunguko wake sio Kiimani bali ni fact ya kisayansi kabisaMpaka leo dunia na waliomo wameaminishwa kwa asilimia kubwa kwamba dunia ndio inazunguka jua. Lakini wapo kiimani wanaona kwamba jua nalo lina mzunguko wake as long as lipo kwenye space
Watapewa wajombaThorium, Tanzania lazima ipo hii.
Sasa wame prove vipi hiyo miaka 200 au ni prediction tu za kisayansi? Unawezaje kuuita fact wakati hakuna mtu anaye ona na kuratibu mzunguko wa hilo jua? Unona sasa mambo yalivyo?Dhana ya kwamba jua nalo lina mzunguko wake sio Kiimani bali ni fact ya kisayansi kabisa
Kwa jinsi dunia inavyotumia siku takribani 365 kulizunguka jua basi jua linatumia takribani miaka milioni 200 kukamilisha mzunguko wake around the galactic center
Jinsi Wanasayansi Walivyothibitisha Kuwa Jua Hukamilisha Mzunguko Wake Kwa Miaka Milioni 200Sasa wame prove vipi hiyo miaka 200 au ni prediction tu za kisayansi? Unawezaje kuuita fact wakati hakuna mtu anaye ona na kuratibu mzunguko wa hilo jua? Unona sasa mambo yalivyo?
Ahsante. Japo dada hizi zinaweza zisiwe sahihi kwa 100% na sababu ni kuwa uthibitisho wote huo ume egemea projections na prediction na sio uhalisia. Tuachane na hayo. Unaamini kwamba jua ni moja ya vitu tunavyo viita nyota? Sasa kama ndivyo twende kwenye andiko lako kipengele hikiJinsi Wanasayansi Walivyothibitisha Kuwa Jua Hukamilisha Mzunguko Wake Kwa Miaka Milioni 200
Je, umewahi kujiuliza Jua linazunguka wapi? Na linachukua muda gani kumaliza mzunguko wake? Wanasayansi wamegundua kuwa Jua linachukua takribani miaka milioni 225 hadi 250 kufanya mzunguko mmoja kamili kuzunguka kituo cha Milky Way Galaxy. Lakini walijuaje?
Ili kuelewa hili, tunapaswa kuzingatia mambo kadhaa muhimu yanayohusiana na mwendo wa anga, mvutano wa uvutano wa vitu vizito (gravity), na vipimo vya kasi. Twende hatua kwa hatua:
1. Kupima Kasi ya Jua Katika Milky Way Galaxy
Wanasayansi waliamua kasi ya Jua linapozunguka katikati ya Milky Way Galaxy kwa kutumia njia inayoitwa athari ya Doppler. Hii ni kanuni ya kisayansi inayosema kuwa mwanga au mawimbi ya sauti yanabadilika kulingana na mwendo wa kitu kinachoyatoa.
Kwa kutumia darubini kubwa zinazoweza kupima mwanga kutoka kwa nyota na mawingu ya gesi, wanasayansi waligundua kuwa Jua linatembea kwa kasi ya takribani kilomita 828,000 kwa saa (au kilomita 230 kwa sekunde).
2. Kupima Umbali wa Jua Kutoka Kituo cha Milky Way Galaxy
Hili ni swali muhimu: Jua lipo umbali gani kutoka katikati ya Milky Way Galaxy? Wanasayansi walitumia njia tofauti kama vile:
Kipimo cha Parallax – hii ni mbinu ya kupima umbali wa vitu kwa kuangalia mabadiliko ya nafasi zao tunapoangalia kutoka pembe tofauti.
Mwendo wa nyota nyingine – kwa kulinganisha mwendo wa Jua na nyota zingine zinazozunguka Milky Way Galaxy, wanaweza kufanikisha makadirio sahihi.
Matumizi ya mawimbi ya redio – kwa kupima mawimbi yanayotoka kwenye shimo jeusi kubwa lililo katikati ya Galaxy yetu, linaloitwa Sagittarius A*, wanasayansi walihesabu kuwa Jua liko umbali wa takribani miaka nuru 27,000 (sawa na kilomita trilioni 255).
3. Kutumia Kanuni za Hesabu za Mzunguko
Baada ya kujua kasi ya Jua na umbali wake kutoka katikati ya Milky Way Galaxy, wanasayansi walitumia kanuni za hesabu za mzunguko ili kukokotoa muda ambao Jua linachukua kuzunguka katikati ya Galaxy.
Kanuni hiyo ni:
T = \frac{2\pi R}{v}
Ambapo:
T ni muda wa mzunguko (katika miaka),
R ni umbali wa Jua kutoka katikati ya Milky Way Galaxy (~kilomita trilioni 255),
v ni kasi ya Jua (~kilomita 828,000 kwa saa).
Walipoweka namba kwenye mlinganyo huu, walipata kwamba Jua linachukua takribani miaka milioni 225 hadi 250 kumaliza mzunguko mmoja kamili.
4. Kudhibitisha kwa Kulinganisha na Nyota Nyingine
Ili kuhakikisha kuwa matokeo yao ni sahihi, wanasayansi walichunguza nyota nyingine zilizo umbali sawa na Jua kutoka katikati ya Milky Way Galaxy. Waligundua kuwa nyota hizi pia zinachukua muda sawa wa miaka milioni 225–250 kuzunguka Galaxy, jambo linalothibitisha mahesabu yao.
5. Kudhibitisha kwa Kompyuta na Michoro ya Galaxy
Mbali na vipimo vya moja kwa moja, wanasayansi hutumia kompyuta kubwa kuunda mfano wa Milky Way Galaxy. Kwa kutumia sheria za fizikia, wanahesabu jinsi vitu mbalimbali katika Galaxy vinavyosogea. Simulizi hizi za kompyuta zilibashiri pia kuwa Jua linazunguka Milky Way Galaxy kwa muda wa miaka milioni 225–250.
Je, Unajua?
Mzunguko mmoja wa Jua katika Milky Way Galaxy ni sawa na mzunguko mmoja wa kihistoria kwa Dunia yetu. Mara ya mwisho Jua lilipokuwa katika eneo hilihili la Galaxy, dinosauri walikuwa wanatawala Dunia!
Hii inamaanisha kuwa tangu wakati huo, Dunia imepitia angalau mizunguko 20 ya Jua katika Milky Way Galaxy.
Hitimisho
Kwa kutumia vipimo vya kasi ya Jua, umbali wake kutoka katikati ya Milky Way Galaxy, na kanuni za hesabu za mzunguko, wanasayansi wameweza kuthibitisha kwamba Jua linakamilisha mzunguko wake katika miaka milioni 225 hadi 250. Maarifa haya yanatusaidia kuelewa nafasi yetu katika ulimwengu na jinsi sayari yetu inavyosafiri ndani ya Galaxy yetu kubwa.
Hapa Machame imejaa ni ya kuchota tu 😁Thorium, Tanzania lazima ipo hii.
Mchawi kwenye hili ni distance , jua liko umbali wa kilomita takribani milioni 150 toka duniani wakati nyota (jua lingine) ya jirani kuliko yote na solar system yetu (mfumo wetu wa jua) lipo umbali wa takribani kilomita trilioni arobainiSwali linakuja kwanini nyonta hizo sio angavu kama lilivyo jua? Yani mwnga wake ni kwamba bado upo safarini miaka maelfu nyuma na bado haujatufikia?