๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ท๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐˜‚๐—ฐ๐—น๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟ ๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐˜€ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ฟ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ฒ๐—น๐—ฒ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—ฎ chini

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ท๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐˜‚๐—ฐ๐—น๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟ ๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ป๐—ฒ๐˜€ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ฟ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ฒ๐—น๐—ฒ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ




Kampuni ya Teknolojia ya Nishati mpya ya Betavolt iliyopo nchini China imezindua betri ndogo ya Nyuklia, BV100 iliyoundwa kwa ajili ya ndege zisizo kuwa na Rubani na kuweka kukaa miaka 50 bila kuchajiwa zikiwa zimepaa.

Muundo wake wa uliyowekwa unatarajiwa kuwezesha ndege zisizo za Rubani kubani Angani kwa miaka mingi na kusaidia kwenye matumizi ya kulinda maeneo mbalimbali ya nchi kwa muda mrefu kuanzia Angani, ardhini na kusafirisha vifaa vya matibabu.

Kwa sasa zimeundwa chache ili kufanyiwa majaribio lakini zitatengenezwa Nyingi zaidi ifikapo mwishoni mwa Mwaka.

#NuclearTech #Battery
#Innovation
#Aerospace
#Drones
 
China anatembeza bakora kila angle ya teknolojia
 
Kama ni kweli VIVA CHINA mpunguze kidogo utawala wa kishoga uliotawala muda sasa.
 
Hatua kubwa, vijana wetu wakishindwa kuiga, angalau wawe mawinga, kataa uchumi wa betting
 
Hakuna kitakachobaki milele. Kila kilichopo kwenye mgongo wa ardhi kitapotea isipokuwa uso wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ