Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
There is a difference btn go hungry n having hunger!Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters [emoji115][emoji115][emoji115] Njaa kwenye nchi ya 'asali na maziwa', huku serikali ikiendelea kujitia hamnazo.
https://borgenproject.org/10-facts-about-poverty-in-tanzania/ [emoji115][emoji115][emoji115] Usihadaike virahisi, umasikini na njaa Tanzania. Utapiamlo kwa 42% ya watoto wote kwenye nchi yenye rotuba na mvua ya kutosha.Always talking about msosi. You people are so gluttonous.Kenyans eat to live whereas you live to eat. Hiyo ni tofauti mojawapo kati ya wabongo na wakenya .there a lot of gluttons in your country
Tanzanians live to eat. A day won't pass by without them mentioning food.
Too bad, there are no food world ranking. Mngejishikilia nafasi ya kwanza
china has more people than Africa dudeBut why is Uhuru trying to export tea to China to balance the trade imbalance?
Ashakum si matusi mzee, lakini nadhani hapa ndio nakubaliwa kukuita kichaa. https://www.twaweza.org/go/sauti-hunger-2017 [emoji115][emoji115][emoji115] Soma tena hizo takwimu za utafiti huo wa twaweza kuhusu njaa Tanzania. Acha kuficha aibu huku wananchi wenzako wakiumia.There is a difference btn go hungry n having hunger!
Kenya is starving year in year out! U want evidence?Ashakum si matusi mzee, lakini nadhani hapa ndio nakubaliwa kukuita kichaa.
Hilo umekua ukihubiri kila siku, swali ni, inakuwaje 84% ya watanzania vijijini wawe na njaa kila mara, kulingana na utafiti wa Twaweza na Reuters wakati nchi ya Tanzania ina kila aina ya rasimali, mvua, ardhi yenye rotuba n.k. n.k.?Kenya is starving year in year out! U want evidence?
And what is FAO n WFP saying in comparison to eternal hunger stricken Kenya?Hilo umekua ukihubiri kila siku, swali ni, inakuwaje 84% ya watanzania vijijini wawe na njaa kila mara, kulingana na utafiti wa Twaweza na Reuters wakati nchi ya Tanzania ina kila aina ya rasimali, mvua, ardhi yenye rotuba n.k. n.k.?
Endelea na wimbo wa Twaweza wakati tunaendelea kuchafua soko la chakula katika nchi kumi za Southern and East Africa, soma sababu zinazofanya tuongeze volume ya kuwauzia chakula, kila mwisho wa msimu tunakuwa na stock kubwa inayokutana na ongezeko la uzalishaji katika season inayufuata.Hilo umekua ukihubiri kila siku, swali ni, inakuwaje 84% ya watanzania vijijini wawe na njaa kila mara, kulingana na utafiti wa Twaweza na Reuters wakati nchi ya Tanzania ina kila aina ya rasimali, mvua, ardhi yenye rotuba n.k. n.k.?
yeye jana alikula ugali kwa skuma sasa anafikiri watz wote 55 million wamekula...wengine wapo wanawinda albinoHunger Pangs: Food (in)security in Tanzania :: Sauti za Wananchi :: Publications :: Twaweza.org[emoji115][emoji115][emoji115] Njaa Tanzania, utafiti wa twaweza.
Vipi nchi yenye shida ya chakula iendelee kuuzia chakula nchi zingine zaidi ya kumi?. Vipi ninyi mtegemee kununua chakula kutoka nchi yenye upungufu wa chakula?.yeye jana alikula ugali kwa skuma sasa anafikiri watz wote 55 million wamekula...wengine wapo wanawinda albino
There were others who ate a dead baboon recently.yeye jana alikula ugali kwa skuma sasa anafikiri watz wote 55 million wamekula...wengine wapo wanawinda albino
Utapia mlo. Wengi wao hawajui kuhusu lishe bora. Wanatukashifu kisa tunakula sukuma. If only they knew the nutritional value of kales and other greens. Acha waendelee kuwapa watoto wao ugali kwa uji huku wakiwapa sungura spinachhttps://borgenproject.org/10-facts-about-poverty-in-tanzania/ [emoji115][emoji115][emoji115] Usihadaike virahisi, umasikini na njaa Tanzania. Utapiamlo kwa 42% ya watoto wote kwenye nchi yenye rotuba na mvua ya kutosha.
Nani amesema Kenya haipati pesa ya kutosha? Pesa inapatikana ya kutosha. Pengine useme pesa yenyewe haitumiki inavyostahili kutumiwa lakini usiseme eti Kenya haipati pesa ya kutosha kutoka majani chai. Kwa miaka mingi sana(especially wakati wa rais Moi) chai ndio ilikuwa top foreign exchange earner kabla ya remittances from Kenyans living abroad kuwa ya kwanza. Siku hizi Wakenya wanaoishi nje ya nchi ndio wanaotuma pesa nyingi nyumbani kushinda mazao ya chai, Lakini chai bado ni top three. Nadhani ya pili ni tourism. Chai ni muhimu katika uchumi wa Kenya hadi sasa in terms of foreign exchange. Bila kuuza chai, Kenya tutakosa dollars za kuimport machines na hio chakula unayoongea kuhusu.Hata Mimi nilishangaa, kwasababu tea ni cash crop, nilitegemea tupate cash ya kutosha kununua chakula, sasa kama cash crop haitoshi hata kutupatia chakula, hiyo tena sio cash crop badala yake ni crash crop
Turkish food aid a lifeline for starving Kenyans
No difference at all. Hunger is hunger. There is no hunger grade A and hunger grade B. You either have food to eat or you don't fullstopThere is a difference btn go hungry n having hunger!
https://www.reuters.com/article/tan...ngry-despites-government-denial-idUSL5N1GJ5CP [emoji115][emoji115][emoji115] Soma hizi za Reuters. Takwimu za asilimia kubwa vijijini wanakosa chakula kabisa kila mara Tanzania, kwenye nchi yenye mvua na rotuba. Kazi yao hapa ni kuunga serikali yao mkono kwenye juhudi zake za kunyamazisha wanahabari.Utapia mlo. Wengi wao hawajui kuhusu lishe bora. Wanatukashifu kisa tunakula sukuma. If only they knew the nutritional value of kales and other greens. Acha waendelee kuwapa watoto wao ugali kwa uji huku wakiwapa sungura spinach
Si mjilishe kwanza kabla ya kulisha wengine, jameni.Endelea na wimbo wa Twaweza wakati tunaendelea kuchafua soko la chakula katika nchi kumi za Southern and East Africa, soma sababu zinazofanya tuongeze volume ya kuwauzia chakula, kila mwisho wa msimu tunakuwa na stock kubwa inayokutana na ongezeko la uzalishaji katika season inayufuata.
Tanzania’s rice exports to Kenya, Rwanda to increase
Kumbe... What captured my attention in that article is the price of flour. Kenya is even better wallahi. Mkenya mwingine kauliza bei ya unga humu hakujibiwa. Now we knowSurvey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters [emoji115][emoji115][emoji115] Soma hizi za Reuters. Takwimu za asilimia kubwa vijijini wanakosa chakula kabisa kila mara Tanzania, kwenye nchi yenye mvua na rotuba. Kazi yao hapa ni kuunga serikali yao mkono kwenye juhudi zake za kunyamazisha wanahabari.
Utapiamlo hutokana na kukosa virutubishi kama protini katika chakula. Sasa ninyi mmetilia mkazo katika mahindi mahindi mahindi hadi watoto wenu wanapata magonjwa ya kiajabuajabu. Hamna protini katika chakula. Hamna nyama, mayai au maharagwe katika chakula. Kazi ni ugali au mchele au uji au mkate. Wacheni hizo. Cha msingi sio bora chakula bali chakula bora. Serikali yenu inastahili kuelimisha watu kuhusu umuhimu wa lishe bora hususan katika afya ya watoto. Kwashiakoo, marasmus na stunted growth ni magonjwa ya kiaibu katika karne ya ishirini na moja.Vipi nchi yenye shida ya chakula iendelee kuuzia chakula nchi zingine zaidi ya kumi?. Vipi ninyi mtegemee kununua chakula kutoka nchi yenye upungufu wa chakula?.
Tanzania: We Have Enough Food - Ministry
Sasa hapo ndipo mnashindwa kutumia akili mnapofanya argument. Jaribu kusoma hii article yote mwanzo hadi mwisho, kuna mambo muhimu utajifinza.Si mjilishe kwanza kabla ya kulisha wengine, jameni.