joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahahaha, mnajaribu kujiliwaza, kuna tofauti kubwa kati ya kukosa chakula, ambapo sababu kubwa ni UMASIKINI na jinsi ya kula lishe bora, ambapo tatizo kubwa ni elimu ya lishe bora, na kukosa muda wa kuandaa lishe bora.Utapiamlo hutokana na kukosa virutubishi kama protini katika chakula. Sasa ninyi mmetilia mkazo katika mahindi mahindi mahindi hadi watoto wenu wanapata magonjwa ya kiajabuajabu. Hamna protini katika chakula. Hamna nyama, mayai au maharagwe katika chakula. Kazi ni ugali au mchele au uji au mkate. Wacheni hizo. Cha msingi sio bora chakula bali chakula bora. Serikali yenu inastahili kuelimisha watu kuhusu umuhimu wa lishe bora hususan katika afya ya watoto. Kwashiakoo, marasmus na stunted growth ni magonjwa ya kiaibu katika karne ya ishirini na moja.
35% ya watoto wa nchi tajiri duniani ikiwemo USA wanakabiliwa na tatizo la malnutrition,Hidden hunger: America’s growing malnutrition epidemic