China kujenga bandari kubwa Afrika. Kumbe na mambo ya kijeshi yapo humo humo

China kujenga bandari kubwa Afrika. Kumbe na mambo ya kijeshi yapo humo humo

shabani

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2009
Posts
309
Reaction score
221
China Builds The Biggest Port In Africa
April 8, 2013: China is investing $10 billion to build a new port at Bagamoyo (northwest of Dar es Salaam) and improve infrastructure related to the port improvement. This will make it possible to greatly increase trade. This mainly consists of shipping raw materials to China and bringing Chinese manufactured goods in. Among the imports will be most of the components for the ports and Chinese mines and other infrastructure projects in the region.

The new port will be able to handle 20 million cargo containers a year. The current port facilities at Dar es Salaam can only handle 800,000 containers a year. New roads and railroads will connect to existing road and railroad networks, and these will also undergo upgrades. This will make Tanzania the main port for raw materials coming out of and goods going into Malawi, Zambia, Congo, Burundi, Rwanda, and Uganda. This makes Tanzania a major East African shipping destination because Bagamoyo will become the largest port in Africa and one of the biggest in the region (which includes the Persian Gulf).

Although China made it clear that these facilities will not be used by the Chinese Navy, Chinese firms will run (as well as build) the facilities, and getting an agreement from Tanzania to allow Chinese warships to come by for supplies and shore leave should not be a problem.

The Chinese government has refused several navy requests for overseas bases but as more Chinese warships operate in the Indian Ocean, and off East Africa, there will be a need for ports where these can reliably obtain fuel, supplies, and some repairs. What better port than one run by a Chinese company.

China has a similar deal with Pakistan, where the port of Gwadar (located near the Iranian border) is being upgraded by China. The Chinese plan to also build a naval base that would be used by Pakistani and Chinese warships and aircraft. This would be a Pakistani naval base, which the Chinese Navy having access.
 
karibuni wachina, wamarekani wanatuletea mashoga tu hapa tz....tangu lini marekani akainvest hela kama hiyo overseas?....hapo ndo utajua kuwa wamarekani wanatakiwa kujipanga upya la sivyo dunia yote itawakimbia. hata hivyo, nina hofu sana, wamarekani wanaweza kutugombanisha sisi kwa sisi ili tupigane, ili madili na china yavurugike, kama suala hili ni la kweli, tukae tukijua kuwa, marekani wanaweza kutumia njia yeyote ile kuzuia au kuliharibu, either kwa kutumia sisi wenyewe au kwa kutumia external forces. watz tuwe makini muda wote. na tusikubali mtu atugawe.
 
Mbona sioni ubaya wowote hapo. Wacha tujenge hub ya East and Central Africa ili tuuchukue uchumi wa East and Central Africa mikononi mwetu. Tuombe tu tutawalane vizuri
 
Kama ni kweli it's a good news! Ila mikataba 19 kwa wakati mmoja inanitisha kwa kweli maana sijui sisi tumeahidi nini humo. Tujikumbushe ule usemi kuwa UKITAKA KULA LAZIMA NA WEWE ULIWE!
 
Baada ya kuona hizo numbers kuhusu uwezo ya hiyo bandari ya Bagamoyo, naomba kwa heshima na taadhima nichukue fursa hii kumpongeza kwa dhabi Mh Dr Dr Dr Jakaya Kikwete kwa kuleta huu mradi mkubwa kabisa wa Bandari hapa nchini. Utakumbukwa milele kwa mchango wako kufanikisha ujenzi wa hiyo Bandari ya Bagamoyo.

Mheshimiwa rais ni vitu vikubwa kama hivi ndio vitakufanya uitwe BWANA MAENDELEO kama unavyotaka na sio mambo ya udini na kukandamiza demokrasia kupitia jeshi lako la polisi.
 
Kama ni kweli it's a good news! Ila mikataba 19 kwa wakati mmoja inanitisha kwa kweli maana sijui sisi tumeahidi nini humo. Tujikumbushe ule usemi kuwa UKITAKA KULA LAZIMA NA WEWE ULIWE!

Wabongo wote wakili zote zimekwisha oza,Mnajenga Port mnaachia wageni ndio waendeshe na kusimamia for what reasons?.It means Bagamoyo port will not be under control of PTA?, then Dar Port hell to go.Ni ujinga na uwendawazimu kutekeleza mradi wa kifisadi namna hiyo.Tuombe Mungu ukamilike kabla ya Kikwete ajawaliwa na Mungu ili ushuhudie mateso ya mradi huo kwa uchumi na wananchi wa Nchi hii.
 
View attachment 93551

it is time up for CCM
 
karibuni wachina, wamarekani wanatuletea mashoga tu hapa tz....tangu lini marekani akainvest hela kama hiyo overseas?....hapo ndo utajua kuwa wamarekani wanatakiwa kujipanga upya la sivyo dunia yote itawakimbia. hata hivyo, nina hofu sana, wamarekani wanaweza kutugombanisha sisi kwa sisi ili tupigane, ili madili na china yavurugike, kama suala hili ni la kweli, tukae tukijua kuwa, marekani wanaweza kutumia njia yeyote ile kuzuia au kuliharibu, either kwa kutumia sisi wenyewe au kwa kutumia external forces. watz tuwe makini muda wote. na tusikubali mtu atugawe.
Hawainvest lakini bajeti ya nchi yako tngu Kikwete awe madarakani asilimia 40% zimetoka kwa wamarekani wachina wameinvest fedha hizo zimnekopwa bibi yako na mama yako na mwanao na motto wa mwanao watalipa hilo deni,kama ni mkweza mchina mkweze kwa linguine lakini sio hili ambalo kodi yako na yangu itatumika kulipa hilo deni,Mpaka tunavyozungumza sasa wamerekani ndio wa kwanza kutoa misaada ya kibinadamu kwenye Nyanja zote elimu,afya,barabara tusipuuze kwa sura za mchina anayevuna kila kitu magogo,madini,sawa na wavunaji wengine kama hujui pata taarifa basi
 
Although China made it clear that these facilities will not be used by the Chinese Navy, Chinese firms will run (as well as build) the facilities, and getting an agreement from Tanzania to allow Chinese warships to come by for supplies and shore leave should not be a problem.
The Chinese government has refused several navy requests for overseas bases but as more Chinese warships operate in the Indian Ocean, and off East Africa, there will be a need for ports where these can reliably obtain fuel, supplies, and some repairs.

Tutaipata base ya wamerekani ipo Mombasa na sisi tumeruhusu ya wachina tumeshajiweka rehani kwenye vita baridi ya hawa walafi wa mali za Afrika tutegemee kuchakazwa kwa namna yeyote ile duh hasara ya mwaka kuwa na Raisi kimbelembele kama Jakaya Kikwete
 
Nasikia itakamilika 2018 na kama itakua chini yao kwa 50 years it means itarudi kwetu 2068.
Wachumi najua mnajua what it means mtu kuiendesha bandari for 50 years.
 
Nasikia itakamilika 2018 na kama itakua chini yao kwa 50 years it means itarudi kwetu 2068.
Wachumi najua mnajua what it means mtu kuiendesha bandari for 50 years.

New slavery era.
 
Baada ya kuona hizo numbers kuhusu uwezo ya hiyo bandari ya Bagamoyo, naomba kwa heshima na taadhima nichukue fursa hii kumpongeza kwa dhabi Mh Dr Dr Dr Jakaya Kikwete kwa kuleta huu mradi mkubwa kabisa wa Bandari hapa nchini. Utakumbukwa milele kwa mchango wako kufanikisha ujenzi wa hiyo Bandari ya Bagamoyo.

Mheshimiwa rais ni vitu vikubwa kama hivi ndio vitakufanya uitwe BWANA MAENDELEO kama unavyotaka na sio mambo ya udini na kukandamiza demokrasia kupitia jeshi lako la polisi.

Kikwete kauza nchi siku akiondoka inaingiza vita nchi hii nani atkubali wachina waendeshe bandari kwa miaka hamsini waafrika hatuna akili hata za kufikiri karne 100 zilizopita tumeruhusu wageni wametutimba wee na sasa tunawaruhusu kwa njia nyingine mchina amefika kutamba eti atapitisha madini yake ,wana madini gani nchi hii mimi nasema kunawengine watakimbia nchi wakiondoka madarakani kizazi cha dot.com hawatakubali mchina aachiwe bandari,makaa ya mawe,dhahabu,platinum,misitu haiwezekani
 
Mbona sioni ubaya wowote hapo. Wacha tujenge hub ya East and Central Africa ili tuuchukue uchumi wa East and Central Africa mikononi mwetu. Tuombe tu tutawalane vizuri
Unaweza ukawa na hub na bado ukabaki mtazamaji tu kama inavyotokea hapa kwetu mara nyingi. Mikataba!!
 
Kikwete kauza nchi siku akiondoka inaingiza vita nchi hii nani atkubali wachina waendeshe bandari kwa miaka hamsini waafrika hatuna akili hata za kufikiri karne 100 zilizopita tumeruhusu wageni wametutimba wee na sasa tunawaruhusu kwa njia nyingine mchina amefika kutamba eti atapitisha madini yake ,wana madini gani nchi hii mimi nasema kunawengine watakimbia nchi wakiondoka madarakani kizazi cha dot.com hawatakubali mchina aachiwe bandari,makaa ya mawe,dhahabu,platinum,misitu haiwezekani

Revenue ya Biggest Port in Africa ni zaidi ya nusu ya Bajeti ya Mwaka ya nchi hii. Just kuwa na facility kama hilo kwenye nchi yako tayari umetoka kiuchumi. Ile tuliyoijenga kwa fedha zetu wenyewe pale Dar Port jamaa wa TICTS ambao hawakutoa hata shs 10 ya ujenzi wana mkataba hadi 2030. Heri uwape miaka 50 wachina waliojenga kuliko kuwapa miaka 25 TICTS kuendesha bandari tuliyojenga sisi. Vipi kuhusu Barrick na madini yetu wakiondoka wanatuachia nini?? Hawa wachina ni Zimwi likujualo, kamwe hawatatumaliza kama TICTS na Barrick
 
Hayo masharti na malengo ya matumizi yamekaa kikoloni koloni hivi...
 
Huu mji wa BAGAMOYO una mambo........WAARABU walianza wakaja WAJERUMANI na WAFARANSA baadae WAINGEREZA sasa WACHINA

WW1Book-NavyEverywhere06Bagamoyo.JPG
 
Baada ya hiyo miaka 50, Kikwete, Mzee Mwanakijiji na wana JF wengi hawatakuwepo tena huku duniani. Waacheni wale kwa sasa na baadae wajukuu zetu wafaudu kilichobakia
 
Kwa kweli kama kuna raisi amewahi kutukanwa sana dunia hii basi mmojawapo ni kikwete, lakini ndiye atakayekumbukwa kwa mema mengi aliyoyafanya kwa taifa lake, kikubwa mungu amemjaliia hekima na busara hii ni zaidi ya elimu yoyete uijuayo hapa duniani,hana jazba sijui tutamtoa wapi tena,ana kila nguvu za kutumia kuzima matusi yote na kashfa lakini yeye husema waacheni wanajifunza demokrasia wakipevuka kila kitu kitaa kaa sawa, asante mungu kwa kutupa jk, ni mzalendo wa kutosha, miradi aliyoisimamia yeye tutakaa miaka hamsini kufikia malengo yake, time wil tel, bagamoyo sasa imeshaunganishwa na dar

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom