China kujenga bandari kubwa Afrika. Kumbe na mambo ya kijeshi yapo humo humo


Amen.........πŸ˜›ray2:πŸ˜›ray2:πŸ˜›ray2:πŸ˜›ray2:πŸ˜›ray2:
 
Hakuna unafuu wowote na tusichanganye ukweli wanajenga ni mkopo, kwa hiyo ujinga wa TICTS,BARICK na sasa bandari ya bagamoyo ni ujinga na ukanjanja sawa sawa ha haya MACCM yanayoingia mikataba ya kipumbavu,mbona nchi zingine walihakikisha wanabadirisha mikataba ya kinyonyaji na kuwa win win situation Zambia,Ghana wamefanya hicvyo sasa kitu gani sisi tumeshindwa na eti tunashadadia ujinga mwingine
 
Nadhani kama tutabadilika na kuwa makini tutapata faida kubwa sana hata kama wao watajenga na kuiendesha, tatizo linakuja aina ya wawakilishi wetu katika mambo nyeti kama hayo. dolla Billion 10 bora hata wangetukopesha kwa kutujengea tuu. bandari inalipa sana na haraka sana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…