Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,544
- 2,169
Naona umekariri aisee, hujaona kuwa project itakamilika miaka miwili baada ya jiwe kutupwa kule na wazee wasisiemuPicha pliz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umekariri aisee, hujaona kuwa project itakamilika miaka miwili baada ya jiwe kutupwa kule na wazee wasisiemuPicha pliz
Mkuu kwani nawe unakaa kwenye huo mji we upo nanjilinji utapata Giza tuSawa ila vipi watu ambao wanapenda giza? hawaoni watalkua wamewanyima haki zao?
Bado mimea duu that is not good bora natural environment iwepo tuu au uwe unawashwa na kuzimwa pindi unapohitajika coz kila kitu kinaumuhimu wake.
Mimi siwezi lala bila usiku kuingia kwa hiyo sitalala tena maisha yangu au?