Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
Mchekeshaji Li Haoshi wa China amejikuta kwenye sintofahamu baada ya kupigwa faini ya $ 2 milion ambazo ni sawa na bilioni 4 baada ya kutaja maudhui na msemo wa kishujaa ambao hutumiwa na jeshi.
Mchekeshaji huyo alikuwa akielezea jinsi mbwa wake walipokuwa wakifukuza "squirrel" ndipo akafananisha jitihada za mbwa hao na msemo unaotumika jeshini unahamasisha kupambana mpaka kushinda bila kukata tamaa.
Adhabu imejumuisha faini kwa kampuni iliyomsajili na kutakuwa kusitisha ratiba zote za "standby comed" zilizopangwa kufanyika mwaka mzima na kampuni hio.
Watu wengi wameendelea kuwa na wasiwasi na kutafsiri swala hili kama mwendelezo wa China kunyima na kubana haki na uhuru wa watu lakini pia imetishia wawekezaji wa kwenye sekta hiyo ya burudani.