Huyu nae akili hana ,tunajifunza uzeeni hizi sio dhama tena zakujifunza maswala ya China au marekani ,tujikite katika Uhuru na kufanya kazi..msomi gani huyu anapingana na nyerere wetu ,RAIA ndo centre ya maendeleo anataka tumuige China yenye serikali ndo centre ya maendeleo......View attachment 1772617
Mwaka huu Chama cha Kikomunisti cha China, CPC, kinatimiza miaka 100 tangu kuanzishwa.
Mtaalamu wa masuala ya China ambaye pia ni Mhadhiri wa Siasa ya Jamii.
katika Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dkt. Otiato Wafula anasema China chini ya usimamizi wa chama cha kikomunisti cha China imezisaidia Nchi nyingi za Afrika Katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya miundombinu.
Dk Wafula anasema China ni mwenzi na rafiki wa dhati wa Afrika.
Aidha anasema kuwa Nchi za Afrika zinafaa kuiga sera ya ujamaa ya China na kujifunza utamaduni wa China ili kufikia maendeleo makubwa zaidi.
Nyerere alifanya Tanzania ikawa masikini wa kutupwa. Nyerere aliwarudisha nyuma sana kimaendeleo na kiuchumi. Sasa unatoa wapi ubavu wa kuidharau Communist party of China wakati CCM yenu imeshindwa na kazi? Afadhali Wachina wanapata maendeleo ya kiuchumi licha ya wao kukosa uhuru wa kujieleza. Nyinyi mumekosa uhuru wa kujieleza na pia mumekosa maendeleo ya kiuchumi.Huyu nae akili hana ,tunajifunza uzeeni hizi sio dhama tena zakujifunza maswala ya China au marekani ,tujikite katika Uhuru na kufanya kazi..msomi gani huyu anapingana na nyerere wetu ,RAIA ndo centre ya maendeleo anataka tumuige China yenye serikali ndo centre ya maendeleo......
Unamkana purofesa kabisa? Msomi huyu ujue🤣🤣🤣Tukithubutu ujinga wa ujamaa nitaihama nchi, ujamaa hulemaza akili watu wanakua controlled namna ya kufikiri na kuishi, rais akisema hakuna corona wote chali mnakubali bila hata mmoja kuhoji.
Hehehe hapana yaani no freaking no.....
Mimi nimezungumzia wazo ,MTU hadi anang'atuka aliona jambo gumu...sisi tushakua wazee ucomunist hautufai ,kinachotufaa kua na sheria zuri ,tufanye kazi kwabidii na uongozi safi(Democratic not otherwiseNyerere alifanya Tanzania ikawa masikini wa kutupwa. Nyerere aliwarudisha nyuma sana kimaendeleo na kiuchumi. Sasa unatoa wapi ubavu wa kuidharau Communist party of China wakati CCM yenu imeshindwa na kazi? Afadhali Wachina wanapata maendeleo ya kiuchumi licha ya wao kukosa uhuru wa kujieleza. Nyinyi mumekosa uhuru wa kujieleza na pia mumekosa maendeleo ya kiuchumi.
Unamkana purofesa kabisa? Msomi huyu ujue🤣🤣🤣
Huyu mkenya wa mwanzo anamjuma nyoso mwenzie😄😄🏃communism vs ubepari
View attachment 1773102