China Stratopheric Airship ina uwezo wa kuiona F-35 ya toka umbali wa 2,000 Km

China Stratopheric Airship ina uwezo wa kuiona F-35 ya toka umbali wa 2,000 Km

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Watafiti wa China wanasema wanaweza kugundua ndege ya kivita ya F-35 inayotengenezwa Marekani kutoka zaidi ya kilomita 1,800 kwa kutumia moshi wa injini yake.

Watafiti wa China wanasema wamegundua udhaifu unaowezekana wa ndege hiyo katika utafiti wa vita vya majaribio vinavyohusisha Taiwan.

Ndege ya stratospheric yenye mifumo ya hali ya juu ya kugundua kwa mionzi ya infraredi inaweza kutambua ndege zisizoonekana kwa rada – kama F-35 – kutoka takriban kilomita 2,000, kwa mujibu wa wanasayansi wa China.

Matokeo haya yanaashiria udhaifu unaowezekana katika teknolojia ya kizazi cha tano ya Marekani na ni hatua kubwa kwa China katika kujenga uwezo wa kuzuia upatikanaji wa anga na maeneo ya vita.

=======================================================

74011f03-8928-4673-848c-158122888fbb_16d6075c.jpg

China’s stratospheric airship can detect American F-35 fighter from nearly 2,000km: studyChinese researchers say they found jet’s potential vulnerability in study of simulated combat involving Taiwan Chinese researchers say they can detect the US-made F-35 fighter jet from more than 1,800km away via its engine exhaust plume.

Photo: US Air ForceA stratospheric airship equipped with advanced infrared detection systems could identify stealth aircraft – such as the US-made F-35 fighter jet – from nearly 2,000km (1,240 miles), according to Chinese scientists.

The findings suggest a potential vulnerability in America’s fifth-generation stealth technology and mark a significant leap in China’s pursuit of anti-access/area denial capabilities.

Source: First Post
 
Hapo Mwanzo 2022 Feb 24 ilisemekama Urusi hawezi pigwa sababu ana S400
ila Ukraine kampiga sana na hadi leo anampiga sana.
China ni nchi ambayo haijawahi kuwq vitani
Ukraine au collective west?
 
Hapo Mwanzo 2022 Feb 24 ilisemekama Urusi hawezi pigwa sababu ana S400
ila Ukraine kampiga sana na hadi leo anampiga sana.
China ni nchi ambayo haijawahi kuwq vitani
Hata wewe ukipigana na Mwakinyo si kwamba atakupigia tu. Na wewe utampiga pia. Ila kila mtu anajua ninini kitakupata. Aidha taya livunjwe, au ukalazwe ICU au Motuary kabisa.
Ukraine anapigana, ila anachokipata wewe tu ndio hujui.
Kwa nini huwa hili mnaliangaliaga kwa jicho la kengeza?
 
Marekani au urusi wakipigana hakuna mshindi
 
China angeutafuna mfupa wa Taiwan tungemuelewa zaidi.
Kila nchi inanamna inavyoendesha masuala yake.

China bara na Taiwan wana social contact kubwa sana zaidi ya hizi political issues zinazo endelea sio rahisi kuchukua maamuzi mepesi yasiyo tazama hapo mbele huo mzozo utakao uzalisha baada ya maamuzi yako utautatua vipi

Nafikiri bado China ina ile imani ya kuiweka Taiwan katika nafasi kama walivyo ziweka Hong-Kong toka mikononi mwa Uingereza na Macau toka mikononi mwa Ureno

Tusubiri tuone maamuzi yao.

Katika vita kama Taiwan haipo kwenye uzani sawa na China bara.
 
Uzi unagusia kuhusu China Stratospheric airship ku detect F-35
 
China’s stratospheric airship can detect American F-35 fighter from nearly 2,000km: study
Chinese researchers say they found jet’s potential vulnerability in study of simulated combat involving Taiwan

Chinese researchers say they can detect the US-made F-35 fighter jet from more than 1,800km away via its engine exhaust plume. Photo: US Air Force
View attachment 3238953
Stephen Chen in Beijing

Published: 1:44pm, 11 Feb 2025
Updated: 3:23pm, 11 Feb 2025

A stratospheric airship equipped with advanced infrared detection systems could identify stealth aircraft – such as the US-made F-35 fighter jet – from nearly 2,000km (1,240 miles), according to Chinese scientists.The findings suggest a potential vulnerability in America’s fifth-generation stealth technology and mark a significant leap in China’s pursuit of anti-access/area denial capabilities.
Kuna vita imetokea na ikaonyesha uwezo huo wa kuiona f35? Au ndo yaleyale ya s 400
 
Tambo za kujigamba kuwa na nguvu kubwa za kijeshi ni jambo la kawaida kabisa kwa Watawala wengi wa Kikomunisti/Ujamaa. Lakini uhalisia huwa inakuwa tofaufi.
 
Tambo za kujigamba kuwa na nguvu kubwa za kijeshi ni jambo la kawaida kabisa kwa Watawala wengi wa Kikomunisti/Ujamaa. Lakini uhalisia huwa inakuwa tofaufi.
Ni taifa gani lisilo jigamba kuwa na nguvu kubwa za kijeshi ? Tuanze na haya makubwa
 
China angeutafuna mfupa wa Taiwan tungemuelewa zaidi.
40% ya bidhaa zinazoingia Taiwan zinatoka China
Huwa ni hanjam tu za vita
Na kila mtu huwa anasema hilo kuwa
" We muache ipo siku ntamtandika"

Wao wanafanya biashara tu na wanaingiza hela
Ila sisi waafrika hakuna kuangalia hasara bali ni kulianzisha tu
 
Back
Top Bottom