ndege ya kivita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ya Pikipiki inageuka kuwa ndege ya kivita

  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ghafla iran imeanza kuchangamka! Tazama waalivyoishambulia ndege ya kivita ya IAF kwa ujasiri

    min -me secretarybird naona mmeamka sasa😁
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ndege ya kivita ya F-16 yaanguka ikizuia shambulio la Urusi

    Wakati wa shambulio kubwa la usiku, Luteni Kanali Maxim Ustimenko, wa jeshi la Ukraine ambaye alikuwa rubani wa ndege ya kivita ya F-16, aliuawa. "Rubani alitumia silaha zote za ndani, akiangusha shabaha saba za angani. Wakati wa mafunzo ya wa mwisho, ndege yake iliharibika na kuanza kuanguka,"...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Houthi waishambulia Meli ya USS Harry S. Truman, na kuangusha ndege ya kivita ya F-18

    Wanaukumbi. This is an extremely serious incident for U.S. Navy. It would mean hostile missiles or drones got past the carrier’s layered defenses (fighters, AEGIS ships, CIWS), showing potential gaps in U.S. naval protection. A group like the Houthis forcing a $13 billion carrier into hard...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Balaa kubwa laipata meli ya kivita ya Marekani kwenye Red Sea.Wapoteza ndege ya kivita ya mabilioni

    Ndege ya kivita yenye thamani ya dola za kimarekani 70mil sawa na mabilioni ya fedha za Tanzania imepotea kwenye bahari nyekundu. Tukio hilo limetolewa taarifa na US navy na kutaja sababu ni wakati wa harakati za kuitayarisha ndege hiyo kwa kuivuta kwa kutumia trekta.Dereva wa trekta ambalo nalo...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania China Stratopheric Airship ina uwezo wa kuiona F-35 ya toka umbali wa 2,000 Km

    Watafiti wa China wanasema wanaweza kugundua ndege ya kivita ya F-35 inayotengenezwa Marekani kutoka zaidi ya kilomita 1,800 kwa kutumia moshi wa injini yake. Watafiti wa China wanasema wamegundua udhaifu unaowezekana wa ndege hiyo katika utafiti wa vita vya majaribio vinavyohusisha Taiwan...
Back
Top Bottom