Balaa kubwa laipata meli ya kivita ya Marekani kwenye Red Sea.Wapoteza ndege ya kivita ya mabilioni

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Ndege ya kivita yenye thamani ya dola za kimarekani 70mil sawa na mabilioni ya fedha za Tanzania imepotea kwenye bahari nyekundu.
Tukio hilo limetolewa taarifa na US navy na kutaja sababu ni wakati wa harakati za kuitayarisha ndege hiyo kwa kuivuta kwa kutumia trekta.Dereva wa trekta ambalo nalo lilizama pamoja na rubani wa ndege hiyo walifanikiwa kujiokoa.
Taarifa zaidi za mkasa huo zinasema kuwa tukio hilo lilitokea wakati meli hiyo ikikwepa shambulio la kombora kutoka wapiganaji wa Houth

US Navy Lost Fighter Jet Trying to Evade Houthi Attack​

US fighter jet rolls off aircraft carrier, sinks into ocean, Navy says​

1745903253247.png
 
Haijajulikana iwapo kuyumba kwa meli hiyo na kusababisha hasara kubwa ya kijeshi kulikuwa na uhusiano wa wowote na wapiganaji wa Houth ambao daima wamekuwa wakiziwinda meli hizo za kivita za Marekani

US fighter jet rolls off aircraft carrier, sinks into ocean, Navy says​

View attachment 3319253
US inatamba tu hapo mashariki ya kati kwa kadiri inavyotaka dah pole zao Houthi
 
Subiri siku utakapopata taarifa kuwa hilo dude limezama kwenye mfereji wa Suez hakuna kwenda wala kurudi na haiwezekani kulikokota.
Webabu naona unaota ndoto za mchana wa jua kali la utosi amka
 
Hili si hasara kubwa kwa jeshi la Marekani lenye maelfu ya Madege but ni indicator nyekundu ya kukua kwa upinzani kutoka kwa Houth inayosemwa kuwa ni kikundi tu.
Huko mbele US wategemee mashambulizi makubwa zaidi yenye athari kubwa zaidi.
Nb.
Haya ni mafanikio makubwa sana kwa Houth coz wamarekani hutuaminisha kupitia zyoutube kwamba aircraft carrier ni untouchable kwa mitambo yake ya ulinzi dhidi ya Drone, ballistic missile na kila aina ya aircraft. Kwa maana hii inayotolewa kwa vitendo ikiwa US itapambana na nchi zenye nguvu aircraft carriers zitakuwa ni scrapper za Baharini huku maelfu ya vijana wakiangamia vibaya
 
Marekani kakutana na upinzani mkalii safari hiie juzi wahouth walifanikiwa kuya jamming makombora mawili yalio rushwa na marekaniView attachment 3319260View attachment 3319261
Hili sio kombora ni bomu limefungwa JDAM kit kwa ajili ya kuongeza range na accuracy.

Halijawa jammed hiyo technically ni 'dud'. Milipuko inakuwa na dud rate kiasi fulani sababu imetengenezwa isiwe inalipuka kiurahisi mpaka iwe triggered. Isingekuwa hivyo basi mabomu yangekuwa yanalipuka kambini kila muda, ukisafirisha yanalipuka, gari lililobeba likianguka yanalipuka, yakigongana yanalipuka.

Ndio maana sehemu yoyote ambayo vita imepiganiwa mabomu yanabaki mazingira yale hata miaka 70, ni hizo duds. Kule Kyaka hadi leo kuna mabomu ya vita ya Iddi Amin. Miji ya London bado kuna mabomu active ya WW2.
 
Ndege ya kivita yenye thamani ya dola za kimarekani 70mil sawa na mabilioni ya fedha za Tanzania imepotea kwenye bahari nyekundu.
Tukio hilo limetolewa taarifa na US navy na kutaja sababu ni wakati wa harakati za kuitayarisha ndege hiyo kwa kuivuta kwa kutumia trekta.Dereva wa trekta ambalo nalo lilizama pamoja na rubani wa ndege hiyo walifanikiwa kujiokoa.
Taarifa zaidi za mkasa huo zinasema kuwa tukio hilo lilitokea wakati meli hiyo ikikwepa shambulio la kombora kutoka wapiganaji wa Houth

US Navy Lost Fighter Jet Trying to Evade Houthi Attack​

US fighter jet rolls off aircraft carrier, sinks into ocean, Navy says​

View attachment 3319253
Kwa TAQIYYA hii bora tu tupae tu kwa kutumia Punda!! Webabu umekuwa muongo kuliko Shetani mwenyewe

Webabu Naona umechanganyikiwa sana
 
Attachments

  • IMG_20250429_082958_223.jpg
    IMG_20250429_082958_223.jpg
    262.2 KB · Views: 36
Kwa TAQIYYA hii bora tu tupae tu kwa kutumia Punda!! Webabu umekuwa muongo kuliko Shetani mwenyewe

Webabu Naona umechanganyikiwa sana
Usifeli katika maisha kiasi hicho.Habari zimeandikwa na mitandao unayoiamini wewe na wenzako hapa nao wamekubali na kuleta vielelezo zaidi.wewe unaniandama mimi peke yangu.
Kule kwenye picha za Vatican kwanini hujaingia.Au kwa vie huna habari nako.Wewe na mayahudi tu.
 
Black market business, imeuzwa hiyo tayari na wajanja nje ya mfumo rasmi. Tupo zetu kilungule hapa tunasubiri mgao.
 
Back
Top Bottom