Hili sio kombora ni bomu limefungwa JDAM kit kwa ajili ya kuongeza range na accuracy.
Halijawa jammed hiyo technically ni 'dud'. Milipuko inakuwa na dud rate kiasi fulani sababu imetengenezwa isiwe inalipuka kiurahisi mpaka iwe triggered. Isingekuwa hivyo basi mabomu yangekuwa yanalipuka kambini kila muda, ukisafirisha yanalipuka, gari lililobeba likianguka yanalipuka, yakigongana yanalipuka.
Ndio maana sehemu yoyote ambayo vita imepiganiwa mabomu yanabaki mazingira yale hata miaka 70, ni hizo duds. Kule Kyaka hadi leo kuna mabomu ya vita ya Iddi Amin. Miji ya London bado kuna mabomu active ya WW2.