China to Tanzania Shipping Agents

China to Tanzania Shipping Agents

Tumia silent Ocean, niliagiza bidhaa yangu ya kg 23 nikalipia kama 55 ya kibongo, wao wana charge 500 per CBM. Kama supplies wako kakupa total weight au cbm yako labda 0.09 au vyovyote vile zidisha ma 500USD jibu lake ndio total charge yako kuchukua mzigo wako warehouse yao
 
Sio kila mzigo unalipia 500usd, mizingo mingine unalipia mpaka 350usd per cbm! Rate inategemea aina ya mzigo.
 
Asante sana kwa mwongozo huo..nitajarbu kufatilia nione matokeo yake
 
Sio kila mzigo unalipia 500usd, mizingo mingine unalipia mpaka 350usd per cbm! Rate inategemea aina ya mzigo.
fafanua vizuri mkuu, mfano mimi nahitaji kuagiza Case ya PC ina uzito wa 2.5Kg hapo inakua bei gani kwa kutumia hao silent ocean.
 
Watafute DYNAMIC AIR AND SEA CARGO LTD, wabobezi Wa freight and sea, phone +255765018958 Wana rates shidani ukisafirisha Kwa ndege per KG ni $12

Kwa sea CBM varies kutokana na aina ya Bidhaa uliyonayo $450 to $360 piga +255765018958 Kwa taarifa na msaada zaidi
 
Hao jamaa ni trusted na wako na website nijaribu kuitembelea?

Uko na personal experience yeyote nao ushare hapa?
 
Silent ocean hawalipishi kwa kg, wanalipisha kwa volume au ujazo. Sasa box la laptop yako lina vipimo gani?
Mkuu nimejaribu ku download app ya silent ocean ila sioni option ya ku sign up ni ku sign in tu. Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom