CHINA: Tumebuni mfumo wa kupata vipimo vya CORONA ndani ya dakika 15

CHINA: Tumebuni mfumo wa kupata vipimo vya CORONA ndani ya dakika 15

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
China yabuni mfumo wa kupata matokea ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona

Wanasayansi wa China wamefanikiwa kubuni mfumo wa kupata majibu ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona. Mfumo huo unaweza kuhifadhiwa na kusafirishwa katika joto la kawaida, na matokeo yanaweza kupatikana dakika 45.

Kifaa chenyewe ni kidogo, ni rahisi kubebwa, na kinaweza kutumiwa kupima nucleic acid ya virusi vya Corona papo hapo. China imeidhinisha mfumo huo ambao kiwango cha usahihi kimefikia zaidi ya 99 baada ya kufanyiwa majaribio ya kupima sampuli zaidi ya 600.
 
China yabuni mfumo wa kupata matokea ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona

Wanasayansi wa China wamefanikiwa kubuni mfumo wa kupata majibu ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona. Mfumo huo unaweza kuhifadhiwa na kusafirishwa katika joto la kawaida, na matokeo yanaweza kupatikana dakika 45. Kifaa chenyewe ni kidogo, ni rahisi kubebwa, na kinaweza kutumiwa kupima nucleic acid ya virusi vya Corona papo hapo. China imeidhinisha mfumo huo ambao kiwango cha usahihi kimefikia zaidi ya 99 baada ya kufanyiwa majaribio ya kupima sampuli zaidi ya 600.
Heading inaonyesha dk 15 lakini maelezo yake ni dk 45! Sasa tuamini lipi hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu wafupi wametuzidi akili tayari. Tuwe tu wapole tuwasikilize wanachosema.

Nayakumbuka maneno ya Trump, Corona=Chinese Virus. Tutamuelewa baadaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa taarifa hata picha!? Kitatuongezea tension bure, uwezo mdogo kupima unafaida zake kisaikolojia.Mimi sina hofu na mafua ni imani yangu mwili utaunda immune faster kwetu sisi wabongo, endapo China mapema vile sio janga tena, tupige kazi maisha yaendelee. Hata malaria haijawahi pigiwa promo japo inaua mamilioni.
 
Mchinaaaaa Aisee anachekesha

Back
Top Bottom