4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,214 Reaction score 8,306 Oct 29, 2022 #21 Rwaz said: Marekan na vibaraka wake kuwaacha peke yao kukawepo unipolarism ni hatar sana kwa dunia nzima. Hawa jamaa bado wana sera za kiunyang'anyi! Taifa lolote lililo nje ya misingi ya kimungu ni adui wa wote! I pray for russia and BRICS Click to expand... Je dini yako inatambulika Urusi na China.?
Rwaz said: Marekan na vibaraka wake kuwaacha peke yao kukawepo unipolarism ni hatar sana kwa dunia nzima. Hawa jamaa bado wana sera za kiunyang'anyi! Taifa lolote lililo nje ya misingi ya kimungu ni adui wa wote! I pray for russia and BRICS Click to expand... Je dini yako inatambulika Urusi na China.?
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Oct 29, 2022 #22 4by94 said: ttzo mnavichwa vibov , mnaforce mapenz madem hawawatak , waachebTaiwan wapite njia yao , waache Ukraine wapite njia yako Click to expand... Mimi shabiki tu tena shabiki mandazi.
4by94 said: ttzo mnavichwa vibov , mnaforce mapenz madem hawawatak , waachebTaiwan wapite njia yao , waache Ukraine wapite njia yako Click to expand... Mimi shabiki tu tena shabiki mandazi.
Siri ya sifuri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 2,335 Reaction score 1,967 Oct 29, 2022 #23 Msanii said: Mweeh Mna maneno magumu nyie khah😳 Click to expand...
Herzog JF-Expert Member Joined Jul 26, 2022 Posts 4,129 Reaction score 4,859 Oct 29, 2022 #24 Mandonga macho madogo