Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #21
Mbona huiongelei India Mzee mwenzagu?Hapo kwenye hayo magari angalia population ya China na USA.
Not relevant
Kwani umefanya ulinganishi wa India na China mkuu?Mbona huiongelei India Mzee mwenzagu?
Kwahiyo Unadhani kwanini USA imezidiwa na China kwenye Infrastructure?Kwani umefanya ulinganishi wa India na China mkuu?
Huyo ni pro russia na allies wake kama china, iran syria, north korea ndo maana anaandika sana kuhusu hizo nchi na huko akijaribu kuonyesha west na its allies si kitu kwa russia na nduguze! china isingekuwa US na europe isingekuwa hapo ilipo na ndo maana teknolojia nyingi za china ni copy & paste ya US na western europe. China alisomesha raia wake wengi US miaka hiyo na wakapata maarifa ya kuboresha uchumi wa china waliporudi uchina ndo wakayafanya waliyoyaona US, kingine kwa miaka mingi china amekuwa mzalishaji wa bidhaa na kuuza masoko ya US na Western europe sabab ya cheap labour ndo maana kampuni kama apple wapo china. All in all kiuchumi/kijeshi/kiteknolojia China kuipita US bado, ila haipingiki anafanya vizuri sana japo as usual pro russia na allies watakwambia US si giant watakwambia kwanza US ana deni kubwa mara ohh anachapisha tu midola.Bro unaanzisha thread tofauti zenye contents zilezile
Kwani uongo mzeeHuyo ni pro russia na allies wake kama china, iran syria, north korea ndo maana anaandika sana kuhusu hizo nchi na huko akijaribu kuonyesha west na its allies si kitu kwa russia na nduguze! china isingekuwa US na europe isingekuwa hapo ilipo na ndo maana teknolojia nyingi za china ni copy & paste ya US na western europe. China alisomesha raia wake wengi US miaka hiyo na wakapata maarifa ya kuboresha uchumi wa china waliporudi uchina ndo wakayafanya waliyoyaona US, kingine kwa miaka mingi china amekuwa mzalishaji wa bidhaa na kuuza masoko ya US na Western europe sabab ya cheap labour ndo maana kampuni kama apple wapo china. All in all kiuchumi/kijeshi/kiteknolojia China kuipita US bado, ila haipingiki anafanya vizuri sana japo as usual pro russia na allies watakwambia US si giant watakwambia kwanza US ana deni kubwa mara ohh anachapisha tu midola.
Kwahiyo mkuu unataka USA wajenge daraja sehemu ambayo hakuna ulazima?Kwahiyo Unadhani kwanini USA imezidiwa na China kwenye Infrastructure?
TELL ME WHYKwahiyo mkuu unataka USA wajenge daraja sehemu ambayo hakuna ulazima?
Mwisho wa ulinganifu wako ni sisi tupate picha ipi kuwa maisha ya wananchi wa China yameboreka zaidi ya wananchi wa Marekani?
Au unataka kusema nini
TELL ME WHYKwahiyo mkuu unataka USA wajenge daraja sehemu ambayo hakuna ulazima?
Mwisho wa ulinganifu wako ni sisi tupate picha ipi kuwa maisha ya wananchi wa China yameboreka zaidi ya wananchi wa Marekani?
Au unataka kusema nini
sawa China imeizidi US kwa kila kitu umefurahi eeehhhh🤣😂Kwani uongo mzee
Check hapa. Ilikuwepo German kipindi kile huongei kitu lakini sasa hivi wanafichwa kweli
Hii ni GDP
View attachment 2768274
Umekata tamaa bwasheesawa China imeizidi US kwa kila kitu umefurahi eeehhhh🤣😂
Umepanik brazasawa China imeizidi US kwa kila kitu umefurahi eeehhhh[emoji1787][emoji23]
umefurahi mwenyewe......Umekata tamaa bwashee
Wenye akili kubwa tumekusoma umri wako.umefurahi mwenyewe......