Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Huu ndo ukweliWanawake wa kichina hawawataki wanaume wa Africa. Pia wanataka wanaume wanaoweza kuzalisha na kuhudumia watoto kusoma mitaala ya Cambridge na kuwapelekea Harvard University.
Waagize GenZ wa Tanzania kwenda kutoa huduma ya kueka mimba hukoChina yabembeleza Uzazi: Kutoka Mtoto Mmoja hadi watatu
Kuzaa ni Jambo zuri endapo unaweza kulea mtotoWaafrika wanaambiwa wapunguze kuzaana, ngoja wa apply hiyo practical watajaza wenyewe. Bora wasukuma wanazaana kama nyuki, na wataijaza mikoa saba halafu atokee mtu wa kalalamika kwa nini wasukuma wanaachwa wazaliane kwa wingi bila kudhibitiwa. Uzazi sio mbaya, ni sifa mojawapo ya viumbe hai.
Wachina hawakuambiwa na kubembelezwa tu, ilikuwa ni sheria kali sana.Waafrika wanaambiwa wapunguze kuzaana, ngoja wa apply hiyo practical watajaza wenyewe. Bora wasukuma wanazaana kama nyuki, na wataijaza mikoa saba halafu atokee mtu wa kalalamika kwa nini wasukuma wanaachwa wazaliane kwa wingi bila kudhibitiwa. Uzazi sio mbaya, ni sifa mojawapo ya viumbe hai.
Zipo njia za kuwalazimisha au ku influence/ kushawishi hili lifanyike, unahitaji serikali makini na smart sana kuwezesha hili.Uswahilini hawawezi kukuelewa