China yafanikiwa kupeleka kifaa katika sayari ya 'Mars'

Baada ya miaka 100 labda, kwa uchumi wetu huu. India wanafanya na kabla ya space x walikuwa wanatumiwa na US kupeleka satelite zao angani.
Sio mbaya kwa watakaokua hai watafanya kwa niaba
 
Na haya madude kule juu si huwa yanaelea inamaana huwa wanayafunga GPS ili wajue lipo wap wakienda tena bila shaka.
Hili dude halikupaswa kukaa huko juu, ni liengine lilipeleka mzigo likaufiksha ilikuwa lazma lilirudi duniani lianguke baharini sehemu walipolielekeza lianguke. Shida likapoteza mawasiliano sasa likawa linajiendea tu
 
Sio mbaya kwa watakaokua hai watafanya kwa niaba
Inahitaji pesa ndefu sana, unajua pia budget ya NASA kutoka serikalini ilipunguzwa sana ndiyo maana siku hizi NASA haina maajabu sana budget ni finyo.
 
Mchina yuko vizuri.

Kwamba atairudisha hiyo Rover duniani hii itakuwa habari mpya ambayo NASA hajathubutu.

Kimsingi kuna uwezekano mkubwa mchina akawa na ka urongo kakutosha kwenye hii habari.

Yetu macho na masikio.
kweli kabisa mkuu, rover na helikopta ya nasa zitabaki kwenye mars, wakati vya mchina vitarudi duniani
 
Kuna hata kimondo kimetengenezwa kwa almas wanasema wakizichimba wakazileta duniani basi mkate utakuwa na thamani kuliko almas maana ni nyingi mno.
Kuna watu wanadhibit hiyo biashara ya almas hawawez kubal ifikie hatua hiyo
 
Kuna watu wanadhibit hiyo biashara ya almas hawawez kubal ifikie hatua hiyo
Hata kuichimba in space inahitaji technology ya hali ya juu sana. Bado tuko nyuma kiteknolojia, kama hapo Mars tu tunachukua miez sita kufika, kuwasiliana na chombo kilicho maras signal inachukua dakikka 8, je pluto?
Na bado kuna sayari ambayo wanahisi ipo kwenye solar system lakini haionekani kwasababu iko mbali ila wanahisi hivyo kutokana na tabia za vimondo na sayar za mbali.
 
Kwa nini watu wanasema China ni nchi ya pili wakati ni ya tatu, watangulizi ni USA na Russia
 
Hongera zao, ila ka- nchi kama India inaitaabisha sana China...
 
Viva China

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Njaa haijaisha duniani wanahangaika na mambo makubwa kabla ya madogo
 
thanks for the report
 
Mkuu wewe ni mjanja kuliko wachina asee, unawazidi akiri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…