China yafanikiwa kurusha satelaiti ya "Zhongxing 1E"

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Septemba 13, saa 3:18 usiku, China ilifanikiwa kurusha satelaiti ya "Zhongxing 1E" angani kwa kutumia roketi ya Long March 7 kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Wenchang. Satelaiti hiyo hutumiwa zaidi kuwapa watumiaji huduma bora za simu, data, redio na televisheni.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…