China imefanikiwa kurusha satelaiti mbili za Siwei 03/04 kwa kutumia roketi ya Long March 2C kutoka kwenye kituo cha kurushia satelaiti cha Taiyuan. Satelaiti zote mbili zimeingia kwenye obiti iliyopangwa.
Setilaiti hizo mbili zitatumika kwenye maeneo ya uchunguzi wa ardhi, upimaji wa kijiografia, ufuatiliaji wa majanga ya asili, na mipango miji, na pia zitatoa huduma za kibiashara za utambuzi kutoka mbali (Remote Sensing) kwenye nyanja mpya zikiwemo utengenezaji wa ramani halisi ya 3D, na usalama wa miji.
Hii ni safari ya 427 ya maroketi ya Long March.