China yafanikiwa kurusha satelaiti za Siwei 03/04

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
China imefanikiwa kurusha satelaiti mbili za Siwei 03/04 kwa kutumia roketi ya Long March 2C kutoka kwenye kituo cha kurushia satelaiti cha Taiyuan. Satelaiti zote mbili zimeingia kwenye obiti iliyopangwa.

Setilaiti hizo mbili zitatumika kwenye maeneo ya uchunguzi wa ardhi, upimaji wa kijiografia, ufuatiliaji wa majanga ya asili, na mipango miji, na pia zitatoa huduma za kibiashara za utambuzi kutoka mbali (Remote Sensing) kwenye nyanja mpya zikiwemo utengenezaji wa ramani halisi ya 3D, na usalama wa miji.

Hii ni safari ya 427 ya maroketi ya Long March.

 
sisi tupo bize kulambishan asali mbichišŸÆ
 
Unaonekana ni Mchina unaejua Kiswahili vyema kabisa hongera...
 
Pongezi kwao china . Pongezi kwa CPC na wanasayansi wote wa ChinašŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…