elon musk kaweka mzani mkubwa Sana, hadi kila mtu aki fanya ana linganishwa nae.
Hivi china alishwahi kubuni Tech yake mwenyewe zaidi copy na paste za watu wenye akili?China inapiga hatua kubwa katika teknolojia ya anga.
Kampuni ya Chang Guang Satellite imeweka kiwango kipya cha 100 Gbps kwa kutumia kiunganishi cha laser kutoka angani hadi Duniani, ikiiacha Starlink nyuma na kutanguliwa na satelaiti za Jilin-1, hii sio tu kuhusu intaneti ya kasi zaidi—ni hatua kubwa kuelekea uvumbuzi wa hali ya juu wa kuelekea mitandao ya 6G.
China inapanga nini kijacho katika technolojia ya satelaiti? Hebu tuzungumze juu yake!
View attachment 3278988
Hivi china alishwahi kubuni Tech yake mwenyewe zaidi copy na paste za watu wenye akili?
KWANI HII INAYOONGELEWA HAPA KUWA NDIO WA KWANZA,AMEKOPI WAPI?Hivi china alishwahi kubuni Tech yake mwenyewe zaidi copy na paste za watu wenye akili?
Ndio wa China Walimgundua Bibi yako 😂😂😂😂Hivi china alishwahi kubuni Tech yake mwenyewe zaidi copy na paste za watu wenye akili?
China inapiga hatua kubwa katika teknolojia ya anga.
Kampuni ya Chang Guang Satellite imeweka kiwango kipya cha 100 Gbps kwa kutumia kiunganishi cha laser kutoka angani hadi Duniani, ikiiacha Starlink nyuma na kutanguliwa na satelaiti za Jilin-1, hii sio tu kuhusu intaneti ya kasi zaidi—ni hatua kubwa kuelekea uvumbuzi wa hali ya juu wa kuelekea mitandao ya 6G.
China inapanga nini kijacho katika technolojia ya satelaiti? Hebu tuzungumze juu yake!
View attachment 3278988
Umemjibu vizuri sana...Na nyinyi Tanzania mnashindwaje kucopy na kupaste kama China
Na sisi Watanzania tujipongeze kwani tunaweza kubuni Nahau, Misemo, Methali, Mashairi, Ngonjera, uchawa na Mipasho..... Lakini tumbukushane wenzetu wanazidi kusonga mbele kwa kasi kubwa huku wakirahisisha maisha kwa teknolojia mpya. Huo msemo wa kwamba wanakopi teknolojia ndio unatufanya tubweteke na kubaki tunatunga phrase nyepesi kama hizi..... Mtu anamaliza kidato cha sita hawezi hata kulima tuta la mboga ni aibu kubwa sana. Wenzetu wapo busy kujenga Space Station yao huko angani....Hivi china alishwahi kubuni Tech yake mwenyewe zaidi copy na paste za watu wenye akili?
Tumekuwa white elephant katika dunia hii..... Hatari sana..... 🤣 Hata hiyo simu anayoitumia kuna uwezekano mkubwa kuwa imetengenezwa China.....🤣
Ongezea vijembe na kejeli mkuu
Nyie (watu weusi) mmeshawahi hata kucopy na kupaste technology yoyote? Ndo ujue ni akili kubwa.Hivi china alishwahi kubuni Tech yake mwenyewe zaidi copy na paste za watu wenye akili?
Unakuta ameingia hapa jf na infinix iliyotengenezwa china halafu anaisharauNa nyinyi Tanzania mnashindwaje kucopy na kupaste kama China