China yajadili mpango wa kuuza TikTok kwa Elon Musk

Ukweli ndio huo, hao wamiliki ni kivuli na ndio maana US haitaki
Hakuna cha ukweli Tiktok sio mali ya serikali ipo chini ya ByteDance kama ilivyo tu Douyin wanacho hofia marekani ni data kufika mikononi mwa serikali ya China pale wakizihitaji japokuwa data zote zinahifadhiwa hapo hapo U.S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…