China yakabiliwa na ukosefu mkubwa wa umeme

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Nchi ya China ambayo ndio nchi ya pili kwa uchumi mkubwa imekumbwa na ukosefu mkubwa wa umeme kiasi cha kulazimika kuzima mpaka taa za barabarani kwa baadhi ya miji yake mikubwa

Hali hii inasadikiwa kusababishwa na ongezeko kubwa la bei ya makaa ya mawe & upungufu mkubwa wa maji kwenye mabwawa ya kufulia umeme
 
Kama taifa Mungu ametuona!! Makaa so yamejaa mchuchuma
 
kwani dili lake la kuvuna makaa ya mawe australia limebuma? au biden katia figisu....
 
Elon Musky anawahusu, atapiga deal hapa
 
Fursa hiyo kwa Tanzania. Tuna makaa ya kutosha, badala ya kutafuta soko la kuuza nje tuongeze pato la nchi, tunaweka tozo kuhamisha pesa kwa wananchi kwenda serikalini (Dr Mwigulu theorem)

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…