DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Mkutano wa kimazungumzo baina ya Vatican [ Pope Francis ] na China [ President Xi Jinping ] umeshindwa kufanikiwa .
Reuters imeripoti kuwa “ Vatican iliiambia China kuwa papa Francis alikuwa tayari kukutana na Rais wa China Xi Jinping kwa ajili ya mazungumzo wakati viongozi hao walipo kuwa katika ziara katika mjii mkuu wa Kazakhstan lakini China ilinukuliwa ikisema kuwa hakuna muda kwa ajili ya hilo ombi.
Serikali hizi mbili zime kuwa na migongano mbalimbali kuhusu Uhuru na mamlaka ya kanisa katoliki China na kuhusu swala la Taiwan.
: Habari zaidi soma Reuters