China yakataa ombi la Mazungumzo na Papa Francis

DENG XIAOPING

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2022
Posts
2,396
Reaction score
2,598
Mkutano wa kimazungumzo baina ya Vatican [ Pope Francis ] na China [ President Xi Jinping ] umeshindwa kufanikiwa .

Reuters imeripoti kuwa “ Vatican iliiambia China kuwa papa Francis alikuwa tayari kukutana na Rais wa China Xi Jinping kwa ajili ya mazungumzo wakati viongozi hao walipo kuwa katika ziara katika mjii mkuu wa Kazakhstan lakini China ilinukuliwa ikisema kuwa hakuna muda kwa ajili ya hilo ombi.

Serikali hizi mbili zime kuwa na migongano mbalimbali kuhusu Uhuru na mamlaka ya kanisa katoliki China na kuhusu swala la Taiwan.

: Habari zaidi soma Reuters
 
Mungu mtu wa kirumi anayeitwa baba mtakatifu akitaka kutafuta influence kwenye nchi ya wenye msimamo asilia wa kiasia…. Waitaliano wakiambiwa waabudu dragon watakubali? Ushamba tu na ukiritimba wa kimagharibi kutaka dominate dunia nzima, wameweza America, Africa na Europe ila kwa Asia hawataweza.
 
Sawa, wacha tuone namna watakavyo weza kumaliza misuguano yao na uchina.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mungu mtu how? Justify ur argument
 
Xi. Is next target na anajuwa hayo majamaa walivyo kuwa hatari. Japo Ero hawajashindwa pale Taiwani bora atafute kazi nyingine amuulize Russian Federation
 
Xi. Is next target na anajuwa hayo majamaa walivyo kuwa hatari. Japo Ero hawajashindwa pale Taiwani bora atafute kazi nyingine amuulize Russian Federation
Russian Federation ili fanywa nini ?
 
Usa lazima iwe imara ili kufanikisha nwo..hao china Russia n.k lazima ziwe underdogs wakishupaza shingo lazima wavunjwe kwa maslahi ya nwo.

And the man behind nwo ndio huyo mnayemuona usa ni puppet tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…