Haya maneno mazito sana na ya kufikirisha. Ina maana Korea, Irani, Russia hawazioni kama ni Mataifa ya hatari kwao hawa Wachina? Huyu Benjamini ana jiamini nini mpaka kutaka tunishiana misuli na China?
Ajue China siyo Iran au Syria au Yemen. Anyway. Nachomkubali Netanyau ni kujiamini kwake na hajawahi kuwa mwoga huyu jamaa. Mwanaume unapaswa uwe hivi. Ukiingia sehemu mademu wanaamka kukupisha. Pata habari kamili
Jamaa hajapepesa macho, kama anavyosema kuwa china policy iko very clear hata na yeye pia kanyooka kweli kweli bila kupinda, sema mrusi huwezi kumchukulia poa, yupo kimya Sanaa. Kwenye ishu za migogoro mrusi anajua na uzoefu upo, anatisha Sana.