Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
wanajifanya wao taifa specialMarekani ikiweka vikwazo inajisikia raha na kuona ni haki yake kufanya hivyo.... Yenyenye ikifanyiwa hivyo inaona ni makosa.
Acha nao waonje joto la jiwe
Marekani ikiweka vikwazo inajisikia raha na kuona ni haki yake kufanya hivyo.... Yenyenye ikifanyiwa hivyo inaona ni makosa.
Wale ng'ombe wa Marekani watasema China atakosa vipuri vya kuhudumia mamia ya ndege alizonunua marekani bila kujua mchina anaweza kucopy hata ndege nzima ππ
Hii nzuri mmammae!Vita vya wakubwa wanashikana kwenye vitu vikubwa.ndege 179 zilizokuwa zinunuliwe na china wamesitisha.ni hasara Kwa marekani.
Playstore ni upuuzi ambao wengi wenu mnautumiaNa zile Engene za ndege zake mpya vipi? China anazalisha bidhaa nyingi sana kwa Techinolojia ya Mmarekani, na Marekami akimua hapiga stop China atalia.
Kumbuka hadi sasa Simu za Kichina ukitoa huawei zinatumia techinolojia za Minarekani ikiwemo playstore.
Marekani ikiweka vikwazo inajisikia raha na kuona ni haki yake kufanya hivyo.... Yenyenye ikifanyiwa hivyo inaona ni makosa.
Wale ng'ombe wa Marekani watasema China atakosa vipuri vya kuhudumia mamia ya ndege alizonunua marekani bila kujua mchina anaweza kucopy hata ndege nzima ππ
Trump mda si mrefu atatema bungoSio jambo la kushangilia....
Hizo vita za wakubwa waathirika wakubwa ni mataifa ya dunia ya tatu huku kwa sababu hata soko la Dunia mnategemea kauli zao ndo mpate pesa....
So far wakianza kukomoana kuna mmoja atatema ndoano...
Ni wakati wa China kuwa na tech yake kwa sababu asilimia kubwa anatumia tech ya USA...
So far hao kwa sasa wanavimbiana ili wakae mezani kuelewana na sio mmoja kumpangia mwenzake cha kufanya...
China tayari ameshaipa Dili Airbus la ndege 160.π Mchina hacheki na kimaNa zile Engene za ndege zake mpya vipi? China anazalisha bidhaa nyingi sana kwa Techinolojia ya Mmarekani, na Marekami akimua hapiga stop China atalia.
Kumbuka hadi sasa Simu za Kichina ukitoa huawei zinatumia techinolojia za Minarekani ikiwemo playstore.
Marekani kamlea nani zaidi ya Israel anajulikana kwa unyang'anyi dunianiMarekani aliwalea sana miaka yote.. kaamua kila mtu ajisimamie mwenyewe mmachukia.. mbwai mbwai tu
Marekani ikiweka vikwazo inajisikia raha na kuona ni haki yake kufanya hivyo.... Yenyenye ikifanyiwa hivyo inaona ni makosa.
Wale ng'ombe wa Marekani watasema China atakosa vipuri vya kuhudumia mamia ya ndege alizonunua marekani bila kujua mchina anaweza kucopy hata ndege nzima ππ
Pole sanaNa zile Engene za ndege zake mpya vipi? China anazalisha bidhaa nyingi sana kwa Techinolojia ya Mmarekani, na Marekami akimua hapiga stop China atalia.
Kumbuka hadi sasa Simu za Kichina ukitoa huawei zinatumia techinolojia za Minarekani ikiwemo playstore.
Fikiria upo angani, halafu unaambiwa kuwa ndege hii imetengenezwa China!! Si utatamani itue sehemu yoyote ya uwanja ulio karibu ili uteremke!!