China yasitisha uagizaji wa Ndege za Boeing

China imefanya jambo zuri sana kwa usalama wa raia zake

Madege ya Boeing ni takataka kuanzia commercial airplanes, defense na space aircrafts

Boeing commercial airplanes zimekuwa na changamoto ya usalama hasa landing gear

NASA waliwapa Boeing kandarasi ya kuwapeleka wanaanga 2 anga za juu kwenye kituo cha ISS baada ya siku 8 wawarudishe duniani wakashindwa kuwarudisha

Ikabidi NASA waiombe SpaceX ndio ikafanya mpango wa kuwarudisha duniani baada ya miezi 8

Boeing 737 Max imeshaua sana watu wengi.

Imefikia hatua hata kukaza screw tu ni tatizo
​
 
We mchina wa kimanzichana mbona muongo hivyo kama shetani!!! Kuwa!!??
 
Kwa sasa Boeing ina changamoto ya kufanya delivery ya ndege zake kwa wakati kutokana na migomo ya wafanyakazi

Boeing imeamua hadi kusitisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo yake

Imelazimika kulipa fidia kwa familia za abiria waliowaua kwenye ajali za 737 Max

Boeing imepata hasara ya billions of dollars na imefikia hatua hasara ni kubwa mpaka wamepunguza wafanyakazi 17,000

Kununua bidhaa ya manufacturer aliyefikia hatua hii ni hatari sana kwa usalama

China walichofanya ni sahihi sana
​
 
Wale ng'ombe wa Marekani watasema China atakosa vipuri vya kuhudumia mamia ya ndege alizonunua marekani bila kujua mchina anaweza kucopy hata ndege nzima 😁😁
Inaonekana China wanataka wakipoteze kabisa kizazi cha Boeing ndani ya China

Baadhi ya airlines companies za China zimeanza kupiga mnada midege ya Boeing

Mnada unafanyika Shanghai
​
 
Hawajifunzi tu wanajua bado zile kelele za american number one
 
Hata Huawei ilipigwa ban mda .saiv si cm zao ziko na Os mpya iliobuniwa china ,alaf cm nyingi za china hawatumiii play store
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…