China yasitisha uagizaji wa Ndege za Boeing

Wakuu ebu angalieni utumbo huu
 
China kwa technology inajiweza pakubwa mno! mfano ukiongelea engine, engine ni uchaguzi "blaza" halafu wachina wana akili kuliko unavyofikiria kwanza wana engine zao ila waliona bado zinahitaji muda wa kukubalika global,so walichofanya ni kutumia CFM engines unajua kwa nini!?😅 kwa sababu wanaakili kuliko akili zako! waliyajua haya! pili hawana conflict na EURO so wanaweza tumia pia RR engines na bado wakatoboa,na ikishindikana watatumia ZAO kwamana wanazo...kuhusu PLAY STORE ni wewe tu unaeona bila PlayStore hutatoboa, kuna kina sisi hapa wa mbagala hatuigusagi hata hiyo PLAYSTORE, na hapa unadhihirisha huna ulijualo ulipaswa kusema AOS😅 kwa kukushtua tu Soko la ndani la wachina tu linajitosheleza ITAZAME HUAWEI haitumii AOS na imerudi vibaya vibaya kama Mnyama simba kwa mkapa...angalia leo rank iko namba ngapi kwa mauzo na ubora vile!? 🤔 kama tu ilivyo Amerika basi na sasa China ni dude moja kubwa sana utake usitake ulichukie ulipende hivyo ndivyo!
 
Mchina huyu aliyetengeneza space station ashindwe kutengeneza ndege!? media gani imekudanganya? jaribu kuangalia CGTN ujionee mavitu ya mchina
kuna watu wana roho za choyo wivu na chuki mpaka wanadhihirisha uchawi kabisa...kuwaelekeza ni kazi sana!😅
 
Uzuri jamaa anatumia huku anaiga......kwenye hizo chip za simu si walijua wakimpiga vikwazo watammaliza kumbe jamaa hadi teknolojia za kutengeneza hizo chips alishaanza kuiga.......kumkata upepo mchina kwa sasa ni ngumu sana, wale jamaa taifa zima vichwa vinafanya kazi ila ukienda kwa wamagharibi wataalam wengi kama sio myahudi basi mhamiaji,,,....wazungu wamekua consumers sana nyakati hizi......
 
Hiyo itawasaidia nini sasa?Wapande punda au ngamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…