China yasitisha uagizaji wa Ndege za Boeing

China gives a ZERO fu-ck!
 
Fikiria upo angani, halafu unaambiwa kuwa ndege hii imetengenezwa China!! Si utatamani itue sehemu yoyote ya uwanja ulio karibu ili uteremke!!
tatizo hujatoka zaid ya simiyu mpk miaka 60 uliyonayo hv unajua kuna kampun moja inabtengeneza ndege iliyokamilika yenyew kabla ya kuandika ulizia kwa watu kingine hujiulizi kwa nn bidhaa za chinanzinauzwa ulaya halafu ww mlo mmoja una guts ya kuiandika china vibaya wajukuu watakucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…