China Yatoa Msimamo Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

Duh......hao jamaa hatareee. ...

maana wametaja majina kabisa pasipo kupepesa macho
 
Kwahiyo hayo madudu wamemuandikia nani.
 
Hapo nipo chaka mbaya!! Kwa style hii Kichina Lazima sasa.
Naskia SAUT wameanzisha Certificate ya Chinise Language, itabidi niunge tela.
 
Kiluga chao kigumu, ila ntajitsidi kadri ya uwezo wangu,
ching chung= ccm acheni ujinga

Pyong nhung= seif alishinda huo uchgz

Henchung suzuki=kulikua hakuna sababu ya kurudia uchaguzi

Seng ji jung chiung= bao la mkono limepita hapo

Wee seing tungtung 2020=seif vumilia
mpaka 2020 utakua raisi

Bebe nang'ho jiung park= wewe jecha acha hiyo tabia, 2020 seif atakua raisi wako,na lowasa atakua makamo wake

Nimejitahidi kutafsiri kadiri ya uwezo wangu, penye misteki nisahihisheni mazee
 
Nimejitahidi kuchatafsiri nimejikuta natoka na chuya tu
 
Hapo pa blue nimepapenda. vp bado unachunga ng'ombe mkuu? au umepata kijana wa kukusaidia
 
Hapo pa blue nimepapenda. vp bado unachunga ng'ombe mkuu? au umepata kijana wa kukusaidia

Mlemhala bhabhaa? Olehaya ginehe?,Nipo town nakula bata na seif shaliff, ng'ombe zangu nimewaachia vijana wangu kule kwa monduli wapate experience kidogo, 2020 huwenda nitakuwa president wenu, hivyo sitopata tabu wakuwalea wale ming'ombe vijana wapo..nahene nkoi dugwibhona 2020, kisukuma kigokidogo tu, ila kimbulu nakijua fulu mzuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…